Nakusudia kuitisha maadamano makubwa nchi nzima ili kupinga mgao wa umeme ambao ni wa kutengenezwa ili kuumiza wananchi!!

Ili shughuli zingine zifanyike bila kikwazo panatakikana umeme wa uhakika na wa kuaminika ni product gani wewe utatengeneza za kuuza nje ambazo umeme hauhusiki!?
We jamaa unaudhi sana!!
Maana shida ya kupata umeme kwa upungufu wa masaa ndani ya siku ni kila siku huu mwaka 60 au ??? Acha ujuha kama ungekuwa na shughuli za maana za kuliingiza taifa na wewe mwenyewe kipato na export ungekuwa ushafanya sana sana toka miaka hio sasa hizi ni muendelezo kwa kuwa hii tatizo halina hata miezi 2 toka lianze wewe ndio wale wananchi lia lia na kutafuta visingizio mnasubiria matatizo yakitokea tu mshafanya mtaji wa kisiasa huo ni ujuha hakuna mahali pasipokuwa na changamoto uzalishaji ni mdogo ni kweli na solution ni kuweka mipango ya kuhakikisha uzalishaji unakuwa mkubwa mipango ipo au hamna jibu ipo na ni ipi hio bwawa la nyerere limejengwa na linamaliziwa atleast linaweza kustahimili na kuongeza uzalishaji hata kwa miaka kadhaa sasa wakati juhudi hizo zote zimefanywa nyie wehu hamuoni mnachoona ni upuuzi wa kuandamana huu utaendelea kuwa ni ujuha kwa kuwa hata ukiandamana hakutafanya bwawa liishe kesho bado lazima ujenzi uendeleee mnaandamana kuweka shinikizo la nini wakati mipango inatekelezwa na hizi zimetokea kama changamoto.
 
Maandamano hayawezi kuleta umeme,
Lengo ni kuwasilisha ujumbe kwa tuliowapa dhamana kuwa, they are not 🚫 doing enough huku wakiwa na kila kitu cha kuwafanya wapange na kutenda ili kuleta matokeo kwa manufaa ya jamii yote

Maandamano ni njia tu (ambayo kiukweli ni more effective than all others) ya kuwasilisha ujumbe kwa wahusika pale njia zingine zinapokuwa zimeshindwa kufanya kazi..

Na ofcoz watawala hawa ni kama hawasikii wala kuguswa na tatizo hili lililodumu kwa takribani miaka 30 sasa yaani;

√ Tangu kwa Benjamin Mkapa, sababu na lugha ya utetezi ikiwa ni hiihii ukame, ukarabati wa mitambo na blah blah zingine

√ Akaja Jakaya Kikwete, tatizo likawa more serious na sababu na lugha ni ileile ya ukame, ukarabati wa mitambo na blah blah zingine kibao kiasi cha kuzaa skendo ya Richmond, yet hakukuwa na suluhu yoyote..

√ Akaja Hayati Rais Magufuli. Huyu alikuja na lugha tofauti kabisa na wenzake. Alitafuta chanzo cha tatizo. Akakiona na kushughukika nacho. Miaka yake sita ya uongozi wake hakukuwa na upungufu wala mgawo wa umeme wenye kuleta hasara na taharuki kama ilivyo leo. Wakamuua huyu ndugu, akazikwa na kila kitu..

Kaingia aliyekuwa msaidizi wake, huyu mama. Inashangaza sana kuwa tatizo very very more serious kama nyakati za Kikwete na lugha na sababu zilezile za ukame, ukarabati, vita vya Ukraine na COVID-19 zimerudi tena..

Watu tunajiuliza kulikoni? Shida iko wapi? Je, ina maana tunakubali shetani wa kutuachilia mabaya na huzuni kupitia viongozi wetu aendelee kututesa wakati Mungu Yehova katupa nguvu na mamlaka yote ya kupambana naye na kumshinda?

===NO WAY!!.

Ni wakati sasa wa kusema enough is enough na tutumie lugha ya tofauti na ngumu zaidi kuzungumza na viongozi na ikibidi tutumie viboko kuwachapa hawa watu inawezekana wakashituka na akili zao zikaanza kufanya kazi vizuri ktk kutatua shida za nchi hii.

Hii itasaidia sana kuwafanya kujua kuwa wenye nchi wamechukia na hawapendezwi na jinsi mambo yanavyokwenda!!

KWA HIYO; Jibu la hoja yako ni kuwa, lugha ya maandamano yaweza kubadili mambo na kuwa tofauti. Yaweza kuleta umeme haraka kuliko unavyofikiri. Imefanya kazi kwingine na kuleta matokeo chanya, na hapa kwetu inawezekana!!
 
Unajua kama hujakutana na machungu ya kukatikakatika Kwa umeme unaweza sema chochote ila kama yamekukuta unaweza tamani kuhama nchi sio kwa utumwa huu
Acha uzushi Dkt Samia siyo wa kulaumiwa. Suala la kukatima umeme hata Marekani unakatika. Na uzuri alishalitolea ufafanuzi. Hivyo mnyamaze kimya! Muacheni Dkt Samia afanye kazi.
 
Tunataka umeme au ondokeni
Raisi Samia Suluhu Hassan alishawahi kutoa Ruksa ya Wananchi Kufanya Maandamano Umeme ukiwa Unakatika katika. Leo hii Umeme unakatika katika.

Naunga mkono hoja.

Wananchi waandamane na hakuna mtu yeyote yule wakuja kuwazuia, kwani watakuwa wanaenda kinyume na Ruska ya Raisi.
 
Jamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi.

Kilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6!!!

Naomba watanzania kwa umoja wetu tuungane bila kujali vyama vyetu maadamu unaumizwa na suala la kukatikakatika Kwa umeme, tuiambie serikali kwa njia ya maandamano makubwa yasiyo na kikomo mpaka iwashe umeme.

Haiwezekani watu tuliowaajiri watutatulie KERO zetu watupuuze namna hii.

Tuungane kusema noooo!!
Tunataka umeme au ondokeni ofisini.
Wazo zuri na sahihi, lakini sio kwa sisi majoga ya Tanzania.
 
Haya kaitaarifu polisi ili tukiandamana iwepo amani na usalama.

Tukusaidie kukusindikiza kituo kipi cha karibu yako?
 
Hatukuwatuma viongozi kulala usingizi huku wakiwa na mipango mibovu ya kuhakikisha umeme upo ni jukumu lao KULETA umeme

Biteko amesema vema, watanzania hawahita kujua sijui service, tanroads, ewura ama nani. Wao ni umeme tu. Hiki kijamaa kinaweza leta mapinduz km kisipozidiwa nguvu za wapigaji.
 
Acha uzushi Dkt Samia siyo wa kulaumiwa. Suala la kukatima umeme hata Marekani unakatika. Na uzuri alishalitolea ufafanuzi. Hivyo mnyamaze kimya! Muacheni Dkt Samia afanye kazi.
Acha hoja za ajabuajabu watu tunajadili maisha tunataka umeme ya marekani unaniletea ya nini hapa ndani ya wiki hii nimeingia hasara kubwa sana kazi zangu zinategemea umeme sitaki porojo.
Kama Yuko kazini kipimo chake nataka umeme kazi zirejee kama kawaida.
 
Serikali kupitia mama yetu Rais was Tanzania ameshatoa miezi sita asisikie kelele za mgao was umeme. Kuwa mpole
Umezaliwa jana?
Hizi kauli za kisiasa mbona huwa zipo kila siku?

Huyo anayepewa miezi 6 asipofanya hivyo watamfanya nini?
Akina januari na maharage wameharibu lakini leo wako wapi kama sio kupewa mashavu ili waendelee kuinjoi
 
Lengo ni kuwasilisha ujumbe kwa tuliowapa dhamana kuwa, they are not 🚫 doing enough huku wakiwa na kila kitu cha kuwafanya wapange na kutenda ili kuleta matokeo kwa manufaa ya jamii yote

Maandamano ni njia tu (ambayo kiukweli ni more effective than all others) ya kuwasilisha ujumbe kwa wahusika pale njia zingine zinapokuwa zimeshindwa kufanya kazi..

Na ofcoz watawala hawa ni kama hawasikii wala kuguswa na tatizo hili lililodumu kwa takribani miaka 30 sasa yaani;

√ Tangu kwa Benjamin Mkapa, sababu na lugha ya utetezi ikiwa ni hiihii ukame, ukarabati wa mitambo na blah blah zingine

√ Akaja Jakaya Kikwete, tatizo likawa more serious na sababu na lugha ni ileile ya ukame, ukarabati wa mitambo na blah blah zingine kibao kiasi cha kuzaa skendo ya Richmond, yet hakukuwa na suluhu yoyote..

√ Akaja Hayati Rais Magufuli. Huyu alikuja na lugha tofauti kabisa na wenzake. Alitafuta chanzo cha tatizo. Akakiona na kushughukika nacho. Miaka yake sita ya uongozi wake hakukuwa na upungufu wala mgawo wa umeme wenye kuleta hasara na taharuki kama ilivyo leo. Wakamuua huyu ndugu, akazikwa na kila kitu..

Kaingia aliyekuwa msaidizi wake, huyu mama. Inashangaza sana kuwa tatizo very very more serious kama nyakati za Kikwete na lugha na sababu zilezile za ukame, ukarabati, vita vya Ukraine na COVID-19 zimerudi tena..

Watu tunajiuliza kulikoni? Shida iko wapi? Je, ina maana tunakubali shetani wa kutuachilia mabaya na huzuni kupitia viongozi wetu aendelee kututesa wakati Mungu Yehova katupa nguvu na mamlaka yote ya kupambana naye na kumshinda?

===NO WAY!!.

Ni wakati sasa wa kusema enough is enough na tutumie lugha ya tofauti na ngumu zaidi kuzungumza na viongozi na ikibidi tutumie viboko kuwachapa hawa watu inawezekana wakashituka na akili zao zikaanza kufanya kazi vizuri ktk kutatua shida za nchi hii.

Hii itasaidia sana kuwafanya kujua kuwa wenye nchi wamechukia na hawapendezwi na jinsi mambo yanavyokwenda!!

KWA HIYO; Jibu la hoja yako ni kuwa, lugha ya maandamano yaweza kubadili mambo na kuwa tofauti. Yaweza kuleta umeme haraka kuliko unavyofikiri. Imefanya kazi kwingine na kuleta matokeo chanya, na hapa kwetu inawezekana!!
We jamaa una akili sana tunahitaji raia wenye uhuru wa fikra namna hii ili nchi yetu ipige hatua!! Vinginevyo tutakuwa na watawala wanaotucheka Kila siku
 
Unajua ndugu yangu wakati unaleta hoja za kipuuzi kama hii watu wanaosuka madili na kupiga pesa za wapuuzi wanakucheka tu
Kama huna pesa shauri yako, endelea kucheka. Na utaandamana humuhumu Twitter na ma warriors wenziyo wa key board
 
Maana shida ya kupata umeme kwa upungufu wa masaa ndani ya siku ni kila siku huu mwaka 60 au ??? Acha ujuha kama ungekuwa na shughuli za maana za kuliingiza taifa na wewe mwenyewe kipato na export ungekuwa ushafanya sana sana toka miaka hio sasa hizi ni muendelezo kwa kuwa hii tatizo halina hata miezi 2 toka lianze wewe ndio wale wananchi lia lia na kutafuta visingizio mnasubiria matatizo yakitokea tu mshafanya mtaji wa kisiasa huo ni ujuha hakuna mahali pasipokuwa na changamoto uzalishaji ni mdogo ni kweli na solution ni kuweka mipango ya kuhakikisha uzalishaji unakuwa mkubwa mipango ipo au hamna jibu ipo na ni ipi hio bwawa la nyerere limejengwa na linamaliziwa atleast linaweza kustahimili na kuongeza uzalishaji hata kwa miaka kadhaa sasa wakati juhudi hizo zote zimefanywa nyie wehu hamuoni mnachoona ni upuuzi wa kuandamana huu utaendelea kuwa ni ujuha kwa kuwa hata ukiandamana hakutafanya bwawa liishe kesho bado lazima ujenzi uendeleee mnaandamana kuweka shinikizo la nini wakati mipango inatekelezwa na hizi zimetokea kama changamoto.
Nasikitika kwamba hujui chochote zaidi ya matusi na jazba watawala nchi hii hawajawahi kuwa serious na changamoto za msingi za wananchi kikubwa sana wanawaza uchaguzi ujao tu.
Tatizo la kukatikakatika Kwa umeme kwa namna wanavyolielezea unajua kabisa tunaongozwa na watu wansotudharau kwa kiwango kisichokubalika.
Hakuna utawala duniani pote uliowahi kufanya vizuri pasipo shinikizo la raia ambao kimsingi ndio mabosi na waajiri wao.
 
Hivi nchi niya viongozi au wananchi? Kama niya viongozi mbona wanakuja kuomba ridhaa kwa wananchi kuongoza nchi? Kama niya wananchi mbona viongozi wananyanyasa wananchi kwenye mambo ya msingi
 
Yaani hata Hawa wanaowatetea sijui kama wanamiliki kimradi chochote kinachohitaji umeme wanaongea simple sana.
Serikali inatakiwa iumize kichwa isidhuru wananchi wake sasa hii yetu haijali chochote alafu Kuna machawa humu wanaona ni kama kuitetea serikali kwenye huu uzembe ni uzalendo
Wenyewe kwenye jambo lolote kutetea ndo wanaona ni uzalendo,wakati hata kuikosoa serikali kwenye mambo ya msingi na ya maana ni uzalendo pia.
 
Kama huna pesa shauri yako, endelea kucheka. Na utaandamana humuhumu Twitter na ma warriors wenziyo wa key board
Pesa ninayo ndio maana sijaomba unichangie chochote ila kazi zangu zinayumba natakiwa nilipe kodi nilipe wasaidizi wangu nilipe pango alafu niendelee kutengeneza faida lakini anazuka mtu from no where anasema eti umeme tusubiri miezi 6 sikubaliani na upuuzi huu
 
Back
Top Bottom