UTEUZI: Maharage Chande aondolewa TTCL, ateuliwa kuwa Postamasta, Ulanga arudishwa TTCL

Kwani hizo nafasi hawezi kupewa mtu asiyekuwa kwenye system?Tanzania hii ya watu 60+mill hayupo msomi anayemzidi au hata wa kufanana nae akapewa hizo nafasi?

Inashangaza sana,anatolewa hapa anawekwa kule anatolewa kule anatupwa pale alimradi awepo ktk circle.kwani hizi teuzi anayezifanya hashauriwi au ndiyo hashauriki?
 
Tanesco was too big for him, ila nilifurahi kuteuliwa Kuwa MD TTCL jamaa ana Experience na issue za Telecom since alikuwa Vodacom hata Taaluma yake ni mbobezi wa Electronics and Telecom, Ila maisha haya Maharage ametoka Kwenye shirika Kubwa sana Tanesco, Yani shirika lenye assets nyingi kitaa kuliko shirika lolote lile la Umma hata kwa budget bado Tanesco is the leading
 
Back
Top Bottom