Kwanini Kampuni nyingi zinatumia mtandao wa Vodacom

Vodacom ipo ki-corporate sana. Mfano internet packages zao za post paid wana-charge kwa speed sio kwa GB.
 
Vodacom ni malobist wazuri kwa corporate clients.

Miaka ya nyuma wakati natumia line ya Vodacom nakumbuka wateja wazuri tulikuwa tunapigiwa simu na kwenda kwenye minuso yao ambayo inaandaliwa ofisini.

Halafu kingine makampuni makubwa ni wateja corporate ambao kwenye post paid service wanawekewa package nzuri.

Kikubwa kuliko yote kwenye telecommunications industry Voda ilijitahidi kupata wafanyakazi wanaofit bila kusahau Rostam Aziz alikuwa share holder mkubwa wa Vodacom.
Rostaam kahamia Tigo..na CEO wa Voda mmoja kahamia Tigo...
But still...Voda wako juu
 
Back
Top Bottom