Tony Blair, angel of Darkness yuko Zanzibar!

Alipokuja wakati ule bado tuli protest.
Tanzania siyo pango la wanyang'anyi na wauaji.
Mliprotest wakati kafanikisha madili kadhaa ya Samia.
 
Daily News 6 Oct. Pg3

Toka alivyo ongopea dunia na majeshi yake na ya NATO kuua wananchi wasio na hatia zaidi ya milioni moja, huyo Tony Blair ni mfalme wa kuzimu.

Sioni ujasiri wa kumkaribisha nchini kwetu ilhali ana mikono ya damu ya wananchi wasio na hatia.

Rais Mwinyi chonde chonde, usishiriki na muuaji.
Hakika Dr Mwinyi kaa mbali na tony blair. Huyo ni malaika wa kuzimu. Atakushawishi hadi kukuhonga umpe dili za kampuni zake wala hatajali kama hakuna maslahi kwa zanzibar. Huyo mtu amesababisha kwa uongo wake na bush raia wa iraq mamilioni kufa na nchi yao iliyokua na maendeleo makubwa kuharibika kabisa. Isitoshe walivyokua wanyama wakamyongo kiongozi wao kwa kamba kwa hukumu waliyopanga wao.
Aisee..kaa mbali na hiyo mtu. Wengine tunatamani kumpiga mawe akija mitaa yetu bila nyie kumlinda.
 
Daily News 6 Oct. Pg3

Toka alivyo ongopea dunia na majeshi yake na ya NATO kuua wananchi wasio na hatia zaidi ya milioni moja, huyo Tony Blair ni mfalme wa kuzimu.

Sioni ujasiri wa kumkaribisha nchini kwetu ilhali ana mikono ya damu ya wananchi wasio na hatia.

Rais Mwinyi chonde chonde, usishiriki na muuaji.

Viongozi waafrika ndio wana mikono iliyojaa damu ya wasio na hatia tena ni wananchi wao.
 
Mliprotest wakati kafanikisha madili kadhaa ya Samia.
Mara samia alivyoingia tu urais.. huyu hapa tony blair, kama vile alikua anasubiria dili la kufa magufuli. Akapiga mamilioni aliyokopa samia world bank mojawapo ya kazi yake walivyokubaliana eti kuisafisha tanzania sifa mbaya aliyoweka magufuli. Huyo ndio samia eti kuna wanasema anaupiga mwingi😂🤣
 
Si kaja kama mtalii mwengine yeyote? Watanzania mbona kila siku tunaenda Uingereza.

Silioni tatizo hapo.
Wapo watalii ambao huenda kutalii wakiwa na ya ziada kwa faida ya jamii na nchi zao.
Naweza kuja kwako kwenye maulidi ili nipate fursa ya kukutana nawe kwa lengo maalum.
 
Hapa Tanzania hakuna waliojeruhi hata kuua? Tuna ujasiri gani wa kuwanyooshea vidole wengine?
Goerge Bush Junior aliyeongoza vita hiyo ya kusaka silaha za maangamizi Iraq mbona alikujaga Tanzania kugawa vyandarua na kucheza ngoma na wamasai huku akiwa na mission ya kufutilia mbali deal ya Uranium Kati ya Russia na Tanzania?! By the time tayari Kampuni ya Russia ya Manthrax ilishaanza kuchimba uranium Namtumbo? Mkakaa kimyaaa?! Baadaye akaja Clinton, kimyaaa, akaja Obama kimyaaa. Nongwa gani uliyonayo na Uingereza ambayo is just allied party to US by the time of war?
eti kampuni ya russia ya manthrax, mkuu kama hujui si ukae tu kimya.
 
Daily News 6 Oct. Pg3

Toka alivyo ongopea dunia na majeshi yake na ya NATO kuua wananchi wasio na hatia zaidi ya milioni moja, huyo Tony Blair ni mfalme wa kuzimu.

Sioni ujasiri wa kumkaribisha nchini kwetu ilhali ana mikono ya damu ya wananchi wasio na hatia.

Rais Mwinyi chonde chonde, usishiriki na muuaji.
Mzee mnoko sana wewe...
Mkapa alichinja wangapi Zanzibar?
Ulipiga kelele?
Tanzania hii polisi inaua mara ngapi?
Utawala uliopita walipotea wangapi?
Mnafiki sana
 
Daily News 6 Oct. Pg3

Toka alivyo ongopea dunia na majeshi yake na ya NATO kuua wananchi wasio na hatia zaidi ya milioni moja, huyo Tony Blair ni mfalme wa kuzimu.

Sioni ujasiri wa kumkaribisha nchini kwetu ilhali ana mikono ya damu ya wananchi wasio na hatia.

Rais Mwinyi chonde chonde, usishiriki na muuaji.
Habari ya sasa hivi lakini picha ni kama ya miaka ya 80; inashangaza
 
Huyo ni Insider wa Kampuni ya DP World. Atakuwa amekuja nchini kuteta na wakubwa namna ya kusonga na dili la kidalali la kugawa bandari zetu.

Ni mtu hatari kabisa hafai hata kulumangia!

Ikumbukwe kabla ya Bi Mkubwa kugawa bandari zetu zote kwa mkataba wa kimangungo alitanguliwa na ziara zisizokatika za Tony Blair nchini.

Huyu mtu apigwe Persona non grata hapa nchini, ni Agent mbaya sana wa Neo-colonialism
Mkuu naona umeamua kuzeeka na roho mbaya inayoongozwa na fitina za kibongo.
 
Back
Top Bottom