Nimeangalia kwny Tv station moja,da!Hawa jamaa walijipanga mda mrefu na kufanya mafunzo ila ni kuomba Mungu yasitokee mauaji hasa kwa raia wasio na hatia hususani kinamama na watoto maana yajayo yanahuzunisha
Ni kuomba Mwenyezi Mungu lakini hayo hayaepukiki. Yalikuwa yanafanywa kila siku na wayahudi lakini sasa wapalestina wameamuwa yafanyike huku na wao wanpigana, siyo wamekaa ytu.
 
Waisrael imeanza kuwanyeeshea tena usiku huu, sasa hivi waziri wao wa ulinzi kaomba msaada kwa nchi za magharibi ziwaongezee ulinzi wa mabomu ya mbali, hususan misail za sido za wapalestina.

Vijana wa ikipalestina wamerusha kama drone mbili, wayahudi wanshangaa wamezitowa wapi? Inasemekana hizo nazo wanaziunda sido ya gaza.
Ndio maana kumbe Palestina wananyukwa,kumbe wanatumia drones za kutengeneza Sido Yao? maskini Hawa ni wakuwaonea huruma tu itabidi waimbe msaada Iran hawana namna
 
Wameambiwa waingie tu gaza, watu hilo walikuwa wanalisubiri.

Wapalestina walioingia israel alfajiri ya jana wamerudi na mateka wa kiyahudi wapo nao gaza, wamewaambia kina netanyahu rusheni mabomu yenu kwa ndege muwauwe wenyewe ndugu zenu.

Kimbembe.
Unakumbuka Entebbe raid ya 1976?hao wakiwataka ndugu zao ni dkk 7 tu wanawakomboa halafu waone kichapo watakula hamna rangi wataacha kuona hao jamaa zako
 
Ndio maana kumbe Palestina wananyukwa,kumbe wanatumia drones za kutengeneza Sido Yao? maskini Hawa ni wakuwaonea huruma tu itabidi waimbe msaada Iran hawana namna
Hawajaanza kupigwa leo, lakini kila unavyomuonea mtu ndivyo unazvyozidi kumjaza nguvu, kuanzia jana wameamuwa kama mbwai iwe mbwai.

Wameisimamisha israel nzima, raia wameambiwa wajifungie kwenye mashimo kwa saa 48 kama panya.

Walichokifanya wapalestina jana na wanachoendelea kukifanya hata wakimalizwa wote, hakuna tatizo kabisa, kuliko kumalizwa huku umekaa unatazama unangoja huruma, kama wale mbwa wanaotemewa mate barabarani na wayahudi na wao wameufyata tu.
 
Unakumbuka Entebbe raid ya 1976?hao wakiwataka ndugu zao ni dkk 7 tu wanawakomboa halafu waone kichapo watakula hamna rangi wataacha kuona hao jamaa zako
Ndiyo wanye lakini watakumbuka tu, no free lunch. Wapalestina ni tofauti na wale mbwa wanaotemewa mate njiani na wao wameufyata tu.

Si umeona, au hujaona?
 
Unakumbuka Entebbe raid ya 1976?hao wakiwataka ndugu zao ni dkk 7 tu wanawakomboa halafu waone kichapo watakula hamna rangi wataacha kuona hao jamaa zako
Wapalestina wanawajua vizuri Waisrael,we huoni majamamaa yanawashika mateka Waisrael?
Wapalestina siyo Waganda.... hawaogopi kufa
 
😁We nadhani unajua Mapenzi yangu yalivyo kindakindaki Kwa Ukraine,
Hao Palestinian wanyukwe tu wanaleta ujuaji sana
Kuna wanaotemewa kama mbwa huko barabarani na wayahudi, wamekatazwa hata kutamka jina la yesu na wameufyata.

Wapalestina siyo vijibwa vya kuogopa mabwana zao, kama wale mashoga.
 
Hapo hakuna mambo ya allah.... Kwa maana wote ni wauaji tu....

Kwa hyo atakae kuwa weak, ataomba yaishe, usiushe ugomvi huo na mambo ya dini
Yapo .. muislamu wa palestine amekuwa oppressed kwa muda mrefu sana .. yaani mtu anakuja kwako anakwambia toka hii sio nyumba yako tena anakuja kuwaweka mayahudi simply because kuna god father's nyumba yake wanamuwezesha kijeshi na kifedha ?! HAMAS are freedom fighters na hili ni jihad .. muislam hatakiwi kula mnyonge na pia tumeambiwa kwenye quran " kisasi ni haki" ingawa kusamehe ni bora zaidi lakini kwa wanayofanyiwa our brothers and sisters in Islam hapana ..
 
Sasa nimeelewa kwa nini Tanganyika tumeamua kuwapa umeme Zanzibar, na hata wakati mwingine kufuta madeni ya bills zao
Kile ni Kisiwa na Vyema kikawa dependent kwa kila kitu kutoka bara ili siku kama ni wao au adui akitaka kuvitumia kuhujumu tunakata tu umeme mzee ns huduma zingine
 
UN ni kweli iko wrong place kama alivyo sema Robert Mgabe, yani kupigwa Israel tu wameamua kuweka kikaa wakati Israel kila akiamua kupiga Gaza hutujasikia kikaa 😂

UN lazima waite kikakao ili wamsaidie Israel sababu wanaju Israel ni mashoga hawana uwezo wa kupigana vita na wanaume.

Mashoga kila aina ya silaha wanapewa. nabado wanatandikwa tu HAMAS piga hao wenye lana ya Mungu
 
Kwa jinsi shirika la kijasusi la Israeli la mossad lilivyo na uwezo mkubwa Basi hii inanifanya niamini huenda hili jambo walikua wanalijua litatokea hivyo wameacha kwa makusudi kabisa litokee ili kuonyesha dunia uchokozi wa hamas na kupata sapoti kubwa pale watakapoanza kujibu mapigo, na hili linaenda sambamba kabisa na suala la Saudi Arabia na Israeli kutaka kuestablish diplomatic relationship. Hivyo Kuna mchezo Hamas na palestina wanachezewa bila kujua.
Inafikirisha. Inawezekana kuna kitu dunia inajua wanajua. Haiwezekani kabisa ndiyo maana nasema yaweza kuwa intelligence failure an politcs
 
Yapo .. muislamu wa palestine amekuwa oppressed kwa muda mrefu sana .. yaani mtu anakuja kwako anakwambia toka hii sio nyumba yako tena anakuja kuwaweka mayahudi simply because kuna god father's nyumba yake wanamuwezesha kijeshi na kifedha ?! HAMAS are freedom fighters na hili ni jihad .. muislam hatakiwi kula mnyonge na pia tumeambiwa kwenye quran " kisasi ni haki" ingawa kusamehe ni bora zaidi lakini kwa wanayofanyiwa our brothers and sisters in Islam hapana ..
Si umeona sasa wenyewe mnathibitisha dini yenu ilivyo ya kilu
 
Back
Top Bottom