Recent content by Kipapuro

  1. K

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi wekeni utaratibu rahisi katika kutoa vibali vya kusafilisha vitu nje ya nchi

    Yani nakwambiaje, natamani serikari ingekuwaga efficient kama private sector yaani
  2. K

    Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

    Then go for bumble uendelee potea zaidi
  3. K

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi wekeni utaratibu rahisi katika kutoa vibali vya kusafilisha vitu nje ya nchi

    Asante sana kwa mchango wako mzuri, nimejaribu kufanya marekebisho kadhaa, kwa mchango wako post itasomeka vizuri kweli. Sio kusoma nje mkuu nadhani ni mapungufu yangu kwenye kiswahili nitajitadi kujifunza zaidi na kuwa mzalendo zaidi. Mchango mzuri sana, unajua nawezaje edit kichwa cha habari...
  4. K

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi wekeni utaratibu rahisi katika kutoa vibali vya kusafilisha vitu nje ya nchi

    Kweli Kabisa, Ni wizara ya mifugo na uvuvi. Kuna makosa hapo wadau, najaribu fanya mabadiliko hapa bila mafanikio
  5. K

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi wekeni utaratibu rahisi katika kutoa vibali vya kusafilisha vitu nje ya nchi

    Baada ya kurejea nchini, matumaini yangu na nguvu ya kuitumikia Tanzania yalikua makubwa kweli, Nilijaribu tafuta ajira kwa kipindi cha mwaka mmoja bila mafanikio, nikaamua kuanza kujiongeza kwa kutumia uzoefu wangu wa nje hasa katika e-commerce huku nikilenga kushirikiana na wajasiliamali wa...
  6. K

    Hivi wanaume wenye maumbile madogo ya sehemu za siri, yanawafanya mkose kujiamini katika mapenzi?

    Kwanza Pole sana, pili tambua kua kila mahusiano hayakosi kachangamoto fulani kanako ibuka na kupotea au kanakojirudia rudia, wengine wanaona uchafu fanya hili...wengine lile..wengine hawataki nyonya mboo au K..wivuuu wasiojua kukisi wale kama mabundi..kina koromaso etc ilihali changamoto ni...
  7. K

    Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

    Tinder..mama weee nimempoteza mtu
  8. K

    Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

    Well said, sema love ikiwa on the air mama angu huskii kitu. 5years long distance..stress kibaoo..tatizo she is soo really and ktamuuu
  9. K

    Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

    First of all pole sana, and the fact that you are worried inaonesha jinsi gani umempenda jamaa na hujafata vingine..and usijali hizi toxic comments za tamaa etc..kila mtu ana vigezo vyake vya kupenda na vyako ndo wadhungu kama mie na K nyeupe loo, I like the way you are honest about your...
  10. K

    jamani kaimba nani huu wimbo

    kuna mtanzania anaefanya mziki wake mbele,amewahi imba wimbo hu''WHY DON'T U CHAA...NGE YOUR LOVE ON MEE..WHY DONT U CHA...NGE YOUR LOVE ON MEEE...ulikua unarushwa sana na kituo cha ITV Miaka ya 2000,shouting yake ilichukuliwa beach.help me on this friend
  11. K

    First year mzumbe(2012>213)

    Utakua unajiuliza maswali mengi,mkopo wangu ni asilimia ngapi?,napaswa kujilipia ada asilimia ngapi? Deadline ya payment ni 30sept,sasa nitalipaje. UNATAKIWA ULIPE KILA KI2 ISIPOKUA ADA TU,HII UTALIPA PINDI UKIFIKA CHUO CAUSE PANA BENL YA CRDB,HATA KAMA TARE 30,ITAKUA IMEPITA HAKITAHARIBIKA...
Back
Top Bottom