Well said, sema love ikiwa on the air mama angu huskii kitu. 5years long distance..stress kibaoo..tatizo she is soo really and ktamuuuMapenzi ya mbali yanaleta sana stress... utajitahidi kuwa positive weee lakini ipo siku lazima utaanza tu kuwaza mawazo potofu.. atakutafuta mwaya, just relax..
Tinder..mama weee nimempoteza mtuTutajie jina la hiyo dating site ulotumia kumpata uyo mlami
Kweli mmeumbika
Naishi na weupe huku lakini nawapenda weusi zaidi
Vipi umepona vidole lakini? Pole
Sipo kwenye mitandao labda ningekuona (just joking )
Vuta subra wakati huu ni baridi sana na barafu inamwagika sana huenda yuko ski na wapambe kakuweka pause kwa mda
Long distance relationship inaweza kumletea mtu ugonjwa wa moyo na sonona. Ingekuwa jamaa yupo "buguruni gana" chap ungepanda boda ukamfata ghetto kujua shida iko wapi, sasa mtu yuko Norway huko unakufa na pressure kumbe it's just a minor thing.
Mi nakuambia, pamoja na kuwa nae...usiache kabisa kuwa na mtu wa kutuliza hizo stress, trust me hutapata shida sana, pale utakapoona the man is serious, very serious with you...ndio uachane na huyu rafiki wa Das'lam!
Kweli mmeumbika
Naishi na weupe huku lakini nawapenda weusi zaidi
Vipi umepona vidole lakini? Pole
Sipo kwenye mitandao labda ningekuona (just joking )
Vuta subra wakati huu ni baridi sana na barafu inamwagika sana huenda yuko ski na wapambe kakuweka pause kwa mda
Thanks kwa ku appreciate. Na umeuthamini muda niliotumia kukushauri.
Sema nilichokupendea uko na ndoto ya kumiliki mzungu. Huwa naelewa Mana ya ndoto so huwa navalue Sana Mana hata mie ni mtu wa ndoto na nilikuwa wa ndoto since my early childhood yaani Ile nikiwa below five years nawaza kusoma nje ya nchi. Na nilifanikiwa. Yaani kila kitu kinachotokea kwangu huwa naota nakuwa na desire mbaya Sana yaani Ile burning desire. Nakuwa very passionate kiasi kwamba hata usingizi sipati,njaa sipati hata hamu ya mapenzi Sina Bali only my burning desire with highest and strong fire fuel flames.
Nicheki ukikwama hata pm.
Pia Kuna dada mmoja tu aliolewa na mzungu tulioenda kusoma nao.
Kuna mzungu tulikutana naye kwa underground train mkewe ni black.
Yule bwana shemu wetu kuna kitu tulikwama kule chini akaongea na maaskari kikwao afu tukafanikisha.alikuwa Ana dada yetu na anko wetu mmoja.
Ila please usiwe Sana tuned kiasi kwamba Mambo yakibaunsi kubali ambayo Mungu amekujaalia.
Kwa elimu iyo uko poa Sana.
Yaani hata kwa ku upgrade kwa nje ni haraka ama ni rahisi Sana.
Huyo dada ukitaka nikuunganishe naye nadhani Yuko fb saivi Yuko zake nje.
Sema bana huyu dada alikuwa Ana tabia nzuri Sana yaani Sana hta mtu ndugu angetaka kumuoa ningempa go ahead.
Sema Sasa blacks tukiwa nje hatunaga hamu na nyie dada zetu yaani hata bure.
Binafsi ilinichukua muda mrefu Sana baada ya kurudi bongo Nika develop Tena hisia na dada zangu wa kiafrika.
White aliyezoea pigo zetu Kaka zake huwa anawaona Kama hawawezi kazi
Naomba ufanyie ushauri wa huyu jamaa yaani jitahidi uwe na mtu hapa ambaye anakuweka sawa sawa mpaka unajisikia kweli umelimika na sio mtu anaacha sehemu zingine hazijalimwa vizuri.
Si unajua hata Ile kujishikiza kazi sehemu fulani huku ukisubiria kazi ya ndoto yako
Embu jaribu kumpigia kawaida
Huwenda kapata tatizo,sisi ni binadamu
Pia hamkuwahi kutajiana Facebook accounts? Huwenda ikakusaidia kuperuzi kwenye wall yake maka Kuna chochote
Pole. Hope all is well with him.
Stay positive.
Ungekuwa na maisha usingekuwa unadanga kwenye site
First of all pole sana, and the fact that you are worried inaonesha jinsi gani umempenda jamaa na hujafata vingine..and usijali hizi toxic comments za tamaa etc..kila mtu ana vigezo vyake vya kupenda na vyako ndo wadhungu kama mie na K nyeupe loo, I like the way you are honest about your feelings ni ingredient muhimu sana katika mapenzi..I would like to think that the guy is just busy or something you know, cause sitaki fikilia kua ameku ghost , inauma sana kwa mtu unaemconsider special..arudi tu akuwashe vizuri jamanii..mana ulivompendaa.
Wabongo bhna, mnawezaje kutafuta wachumba thru dating sites??Hahahaha ila well amerudi he is ilnotba ghost actually, alipata tatizo and we are fine now.
Mapenzi ya mbali yanaleta sana stress... utajitahidi kuwa positive weee lakini ipo siku lazima utaanza tu kuwaza mawazo potofu.. atakutafuta mwaya, just relax..
Majira ya barafu sasa, ukanda huo hadi URUSI so watu hawatembei sana, mostly mnakuwa ndani, inafikia kipindi hadi miezi miwili. Utaona akitulia atakuchek, wazungu wana mapenzi ya kweli, sisi weusi haturidhiki na mtu mmoja. Whiteman akikuhisi una pisi nyingine ndio mkono wa kwaheri.
Madkini ya Mungu..asante kwa kuchangia pia.
Wabongo bhna, mnawezaje kutafuta wachumba thru dating sites??
Kama nakuona akili ilivyotulia sasa.. hongera kwa kupenda na kupendwa.. anza kutayarisha mipango ya kuhakikisha hizo siku anakula bata haswa usisahau kwenye utalii kubuku na safari akajionee wanyama pia.. Zanzibar kama haupo huko.. kila la kheri.. muonyeshe unaweza kutumia pesa yako kumpa raha pia.. mkitoka unamwambia utalipia bill unafanya style ya kama kupokezana kwa kujipimia urefu wa kamba yako.. mara tano chomeka wewe moja au mbili muhimu ukizidisha poa tu.. hata kulipia taxi etc
🤣🤣🤣 mshonoCha kwanza nilichokiona tu kwako una tatizo la njaa kwenye mahusiano sio rahisi kwa mtu wa kawaida kukwambia hilo ila most girls wanaowinda wazungu huwa ni sababu ya njaa tu na si kingine. Cha pili tuliza mshono.
Huyo jamaa atakutafuta tu usioneshe kuwa demanding sana huwa mambo yanaendaga smooth tu!