wizara ya mifugo na uvuvi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChoiceVariable

    Nini Kimepelekea Kupanguliwa Kwa Uongozi Wote wa Juu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi?

    Habari ndugu Wana jukwaa.. Kimbunga Cha pangua pangua ya mh.Rais Dk Samia kimesomba uongozi wote wa Juu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuanzia aliyekuwa Waziri wa Wizara na Makatibu Wakuu wake wote. Amepona aliyekuwa Naibu Waziri ambae ameteuliwa kuwa Waziri. Swali,kulikuwa na nini hasa...
  2. saidoo25

    Hofu ya maji ya maiti kuhifadhia samaki nini hatma yake

    Kwa sasa nchi yetu imekumbwa na taharuki kubwa hasa kwa watumiaji wa samaki baada ya kauli ya Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango pamoja na maelezo yaliyotolewa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdalah Ullega kuhusiana na matumizi ya maji ya kuoshea maiti. Kwanini Mamlaka za kisayansi ikiwemo...
  3. M

    SoC02 Migogoro ya Wafugaji na Wakulima,kweli ni Donda ndugu lisilopona mbele ya Serikali na wasomi?

    Athari za Migogoro ya Wafugaji na Wakulima. Migogro hii imekuwa ikisababisha upotevu wa rasilimali kwa raia, jamii na serikali kwa ujumla, uharibifu wa mali, uhai wa raia na mifugo kwa ujumla. Kwa miaka mingi katika nchi yetu tumekuwa tukiishi na jamii za kifugaji (pastoralists) kama wamasai...
  4. saidoo25

    Waziri Mashimba amvimbia Rais Samia agizo la kufuta vitalu

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amemjibu Rais Samia Suluhu Hassan kuwa agizo lake la kutaka kufutwa kwa vitalu vya Ranchi za Taifa NARCO vinavyomilikiwa kisheria na wawekezaji mbalimbali nchini amelipima na kwamba linahitaji umakini mkubwa kutekelezwa. "Mh Rais aliagiza vitalu...
  5. K

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi wekeni utaratibu rahisi katika kutoa vibali vya kusafilisha vitu nje ya nchi

    Baada ya kurejea nchini, matumaini yangu na nguvu ya kuitumikia Tanzania yalikua makubwa kweli, Nilijaribu tafuta ajira kwa kipindi cha mwaka mmoja bila mafanikio, nikaamua kuanza kujiongeza kwa kutumia uzoefu wangu wa nje hasa katika e-commerce huku nikilenga kushirikiana na wajasiliamali wa...
  6. beth

    Spika Ndugai: Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) ipo ICU, imeshashindwa

    Spika wa Bunge la Tanzania amesema Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) ipo 'ICU' na kwa miaka mingi wadau wamekuwa wakinyamaza, lakini imefika mahali lazima ukweli usemwe. Amesema "NARCO hawezi kufufuka, ile sio Ranchi. Mkitaka tuibadilishe iwe Hifadhi ya Wanyamapori. Hata Serikali iende inunue...
Back
Top Bottom