Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

Wewe ndio masikini unapokea hela from strangers kama dirty money je!? sina uhakika kama una shughuli yeyote ya kukukwamua na uchumi wako

Unalilia mapenzi na mzungu alikushit baada ya kuona uko cheap huna standards unaona unaonewa donge mwenyewe

Kumbe yaweza pia kuwa umetongwa na mnigeria alieko kule lagos vichochoroni .

Basi ukaleta hapa sasa iweje uje kutatambia au iweje mambo yako personal na kimapenzi ulileta hapa ili iweje!?

Unajielewa kweli wewe !? Una akili sawa sawa!?
Mapenzi popote, muache dada atuwakilishe kama taifa.
 
Asante kwa ushauri mzuri nimekuelewa sana tena mno kuhusu proffesional mimi ni degree holder wa finance and investiment n development planning..kuhusu exposure ya watu wa nje kweli sikua nayo kiivyo ila naimani Mungu ni mwema I will learn with time..asante kwa muda wako.
Thanks kwa ku appreciate. Na umeuthamini muda niliotumia kukushauri.
Sema nilichokupendea uko na ndoto ya kumiliki mzungu. Huwa naelewa Mana ya ndoto so huwa navalue Sana Mana hata mie ni mtu wa ndoto na nilikuwa wa ndoto since my early childhood yaani Ile nikiwa below five years nawaza kusoma nje ya nchi. Na nilifanikiwa. Yaani kila kitu kinachotokea kwangu huwa naota nakuwa na desire mbaya Sana yaani Ile burning desire. Nakuwa very passionate kiasi kwamba hata usingizi sipati,njaa sipati hata hamu ya mapenzi Sina Bali only my burning desire with highest and strong fire fuel flames.
Nicheki ukikwama hata pm.
Pia Kuna dada mmoja tu aliolewa na mzungu tulioenda kusoma nao.
Kuna mzungu tulikutana naye kwa underground train mkewe ni black.
Yule bwana shemu wetu kuna kitu tulikwama kule chini akaongea na maaskari kikwao afu tukafanikisha.alikuwa Ana dada yetu na anko wetu mmoja.
Ila please usiwe Sana tuned kiasi kwamba Mambo yakibaunsi kubali ambayo Mungu amekujaalia.
Kwa elimu iyo uko poa Sana.
Yaani hata kwa ku upgrade kwa nje ni haraka ama ni rahisi Sana.
Huyo dada ukitaka nikuunganishe naye nadhani Yuko fb saivi Yuko zake nje.
Sema bana huyu dada alikuwa Ana tabia nzuri Sana yaani Sana hta mtu ndugu angetaka kumuoa ningempa go ahead.
Sema Sasa blacks tukiwa nje hatunaga hamu na nyie dada zetu yaani hata bure.
Binafsi ilinichukua muda mrefu Sana baada ya kurudi bongo Nika develop Tena hisia na dada zangu wa kiafrika.
White aliyezoea pigo zetu Kaka zake huwa anawaona Kama hawawezi kazi
 
nae...usiache kabisa kuwa na mtu wa kutuliza hizo stress, trust me hutapata shida sana, pale utakapoona the man is serious, very serious with you...ndio uachane na huyu rafiki wa
Naomba ufanyie ushauri wa huyu jamaa yaani jitahidi uwe na mtu hapa ambaye anakuweka sawa sawa mpaka unajisikia kweli umelimika na sio mtu anaacha sehemu zingine hazijalimwa vizuri.
Si unajua hata Ile kujishikiza kazi sehemu fulani huku ukisubiria kazi ya ndoto yako
 
Hello, my name is Dolph Lundgren.

Mimi ni mzungu ila ninaishi Tanzania.

Hakuna matata.
20220114_014717.jpg
 
Binafsi nafahamu sisi black girls we are so cute! He admitted that to me too! Nawapenda tu kwa sababu flan flan ila kwa urembo waafrica we are the best.
Mkuu unataka kizazi cha kizungu eeeeeh.... Mwambie akutumie tu sperm uje tukufix lab uzae mdhungu...
 
Sio kila mtu ni muongo muongo km unavyonifikiria, nipo leave ya kazi na mshahara wangu unaingia km kawaida so umaskini wa kutupwa wa kupiga vizinga vya kishamba sina.
Embu jaribu kumpigia kawaida
Huwenda kapata tatizo,sisi ni binadamu
Pia hamkuwahi kutajiana Facebook accounts? Huwenda ikakusaidia kuperuzi kwenye wall yake maka Kuna chochote
 
Norway aah nchi poa sana, Scandnavian wote wako poa. DENMARK, SWEDEN, NORWAY.
Hata washkaji nawashauri, ukitaka demu jaribu hizo nchi, utafurahi na nchi nyingine ni FINLAND wako poa sana.

nilikuwa najiona MBILIKIMO maana wale watu ni Warefu kwelikweli.
Yeah wako pisi sana kuna wawili nimefahamiana nao hapa hapa Dar , wanaongea kiswahili vizuri kabisa..! Ningepata wakuvutiwa naye hakika ningevuta jiko..
mmoja wapo mama yao nafahamiana naye ni mchangamfu na msela balaa ! Hawapo uptight na kujibana bana kama wazungu wengine..
 
Atakutafuta leo. Si unaona ilikuwa ni weekend? Mpenzi wako alienda kwa mpenzi wake na simu anayotumia kuchat na wewe aliiacha nyumbani kwake akaondoka na nyingine ambayo sasa wewe hauna.
Usijali atarudi leo, muendelee mlipoishia.
 
First of all pole sana, and the fact that you are worried inaonesha jinsi gani umempenda jamaa na hujafata vingine..and usijali hizi toxic comments za tamaa etc..kila mtu ana vigezo vyake vya kupenda na vyako ndo wadhungu kama mie na K nyeupe loo, I like the way you are honest about your feelings ni ingredient muhimu sana katika mapenzi..I would like to think that the guy is just busy or something you know, cause sitaki fikilia kua ameku ghost , inauma sana kwa mtu unaemconsider special..arudi tu akuwashe vizuri jamanii..mana ulivompendaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom