jamani kaimba nani huu wimbo

Kipapuro

Member
Aug 12, 2012
32
14
kuna mtanzania anaefanya mziki wake mbele,amewahi imba wimbo hu''WHY DON'T U CHAA...NGE YOUR LOVE ON MEE..WHY DONT U CHA...NGE YOUR LOVE ON MEEE...ulikua unarushwa sana na kituo cha ITV Miaka ya 2000,shouting yake ilichukuliwa beach.help me on this friend
 
Back
Top Bottom