Recent content by AHAKU

  1. A

    Tunawasaidia vipi waandishi katika hili

    Nawasalimu ndugu zangu Natumai sote au wengi wetu humu tumeona namna matokeo ya kidato cha nne yalivyokuwa mabaya mwaka huu. Kwa kuwa wanahabari nao ni sehemu ya jamii wanaoweza kutusaidia kubadili hali ya mambo katika sekta ya elimu naomba kuuliza ili tutoe michango tunawasaidia vipi waandishi...
  2. A

    Nina nusu eka naomba msaada

    Nawasalimu wana JF Kwa taadhima naomba kuuliza nina eneo la nusu ekari mahala panaitwa Msongola katika wilaya ya Ilala. Naomba kujua kwa eneo hili la ardhi naweza kufanya kilimo gani kinachoweza kunipatia senti za hapa na pale. Kwa ajira niliyo nayo nina uwezo wa ku save Sh laki moja kila mwezi...
  3. A

    Kwa sifa hizi wanasiasa wetu wamestahili kupewa digrii za heshima?

    Salamu wakubwa nimeinyaka taarifa hii kutoka mtandao wa gazeti la Mwananchi Monday, 03 January 2011 19:43 Nani wanastahili kupewa shahada za heshima? Na Florence Majani AGOSTI mwaka jana, Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Profesa Mayunga Nkunya alizungumza na...
  4. A

    Hivi laki 2 na nusu itanitoa kimaisha nikisave kwa mwezi?

    hicho kiasi mkubwa ni baada ya kutoa gharama zingine kama kuendesha familia, usafiri na mengineyo. Yaani huwa nabakiwa na mshiko huo baada ya kugaharamia vitu vyote muhimu vya mwezi
  5. A

    Hivi laki 2 na nusu itanitoa kimaisha nikisave kwa mwezi?

    Salam wanajamii wenzangu. Naamini humu hakuna wachoyo wa msaada wa mawazo. Ni kwa matarajio haya naomba kuuliza mimi nafanya kazi sekta binafsi kama mwajiriwa mwisho wa mwezi naweza ku save laki mbili na nusu Ninauliza hivi kwa kiasi hiki ninawezaje kukitumia ili angalau miaka michache ijayo...
  6. A

    Hivi ndivyo vitabu vyetu, inatisha!!!

    Wakuu naomba mpitie hiyo makala hapo chini muone naomna sekta ya vitabu ilivyovamia Bongo. Ni makala kutoka gazeti la Mwananchi leo jumanne tar 26 2010 Mkanganyiko vitabuni Kitabu chafundisha mbu anasababisha kipindupindu Na Abeid Poyo UJIO wa mfumo wa kiuchumi wa soko huria umeleta...
  7. A

    Swali kuhusu makala za elimu magazetini

    kwa vipi hakuna baba Enock? unaweza kunipa mwanga kidogo kuhusu jibu lako tafadhali. Nashukuru
  8. A

    Swali kuhusu makala za elimu magazetini

    Habari zebu wadau wa ukumbi huu wa elimu. Naomba kujua katika magazeti yote nchini Tz gazeti lipi linaongoza kwa kuwa na makala nzuri za elimu zilizotafitiwa na zenye kuelimisha jamii Asanteni
  9. A

    Goli ni Goli; la Mpendazoe nalo Goli!

    Eti wakubwa hili haliwezi kuwa sawa na lile la Mhe. Mrema Upinzani mdomoni, CCM moyoni?
  10. A

    Utaalamu wa kuzuia majanga ya moto

    Nawasalimu wafikiriaji wakuu Naomba msaada kuhusu njia bora ya kuzuia majanga ya moto majumbani. Nyumba yangu nimeunganisha umeme wa tanesco wiring yake ndio hiyo hiyo ya Kiswahili (sina uhakika na vifaa kama ni bora ama feki) Nina wasiwasi siku umeme huu kuja kunilipukia hivyo nawaomba wajuzi...
  11. A

    Dr kisanji maskini

    Nimei down load kutoka mtandao wa gazeti la Mwananchi Tanzia:Kapumzike Dk Kisanji waliokujua watakuenzi Na Abeid Poyo HAKUNA awezaye kukizuia kifo pindi kinapomtembelea mwanadamu. Laiti uwezo huo ungekuwapo, wadau wa elimu nchini wangekuwa wa mwanzo kukizuia kifo kisimchukue marehemu Dk...
  12. A

    Je, ni sahihi kusema..?

    ndugu yangu hicho si Kiswahili sanifu ni yale yale mambo ya kutumia miundo na maneno ya Kiingereza na kulazimisha iendane na kiswahili kuhofia uliyoitaja inatokana na wazungumzaji wa Kiswahiil kuathiriwa na neno FEAR la Kiingereza Unajua unaweza kusema katika Kiingereza ten people are feared...
  13. A

    Hivi ndivyo tulivyochemsha Waswahili

    Ujamaa uliikosesha Tanzania ajira za Kiswahili Marekani Bado Tanzania ina nafasi na uwezo mkubwa wa kuikuza lugha ya Kiswahili nje ya mipaka yake. Huu ndio mtazamo wa Profesa Pete Mhunzi, Mmarekani mwenye asili ya Afrika na mpenzi wa Kiswahili anayeelezea maendeleo ya lugha hiyo nchini Marekani...
  14. A

    Ukweli kuhusu teknolojia ya solar

    kuna yule jamaa wa pale External Ubungo nasikia ni mjuzi wa aina hiyo ya umeme
  15. A

    Ukweli kuhusu teknolojia ya solar

    Ndugu Jubilant Nyumba yangu ina vyumba vitatu vya kulala, sitting na dining, jiko na small library. Sina mpango wa kutumia AC ila wearing ninayoifanya nataka iwe ile itakayoweza kuja kuhimili matumizi ya vitu kama friza kubwa, desktop comp, laptop, Tv tatu, pasi na jiko la umeme. Taa nataraji...
Back
Top Bottom