Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Habari Nimebadili Hard Disk katika latop yangu kisha ile niliyotoa nikaamua kuifanya External baada ya kuinunulia housing, lakini cha kushangaza imekuwa ikinizingua kwani napokopi muziki ndani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna mtu anaweza kunisaidia nifanye nini ili nitumie modem ya celtel (sharkpod) kwa line ya vodacom! Kama kuna software yeyote inayoweza kuifanya hii modem itambue line ya vodacom na kukubali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Help Firefox set a World Record for the most software downloaded in 24 hours. With the backing of our community and your help we know we can make it! Check out the Download Day Headquarters for...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Waungwana naomba msaada wa kiufundi. Nina external hdd ya laptop ilianguka na nilipojaribu ku-connect tena ikagoma ila nikaisikia inagonga. Nilipoifungua ndani nikakuta iko ok haina physical...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Microsoft Corp. is scheduled to stop selling its Windows XP operating system to retailers and major computer makers Monday, despite protests from a slice of PC users who don't want to be forced...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimejaribu sana kupiga simu leo bongo lakini kwa bahati mbaya siwapati jamaa zangu wote na cha kushangaza eti wote ni Voda sasa sijui kama ni kampuni hiyo tu au hata nyingine. Nilipata bahati ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi ni mtumiaji mzuri wa Adobe CS3 premiere, Photoshop. illusrator, DVD encore n.k Nimekuwa nikiweka katika komputa yangu nzee na zinafanya kazi kama kawaida. Lakini baadaye nilinunua komputa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
M
MegaPyne
The worst thing that Microsoft could create in Windows was the Windows registry. Its so delicate that if you do something wrong with the registry, everything is gone. This means that registry...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
M
MegaPyne
Windows Add/Remove Programs takes a lot of time to load all the installed programs on my PC as I have lots of stuff running. So I have been searching for a utility which would be similar to...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Link ya chini hizo ndio Grandawards kutoka popular science,mambo yanaenda yakiongezeka hopefully babu yangu kule kijijini internet na umeme soon vitakuwa sio luxury tena....Angalia vizuri hao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi kwenye windows xp mixers za sound zinapatikana kiurahisi... hivi kwenye windows vista.. mbona inakuwa vurugu.. anybody mwenye idea..
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Administrators unable to install update on some systems 17 Jun 2008 Microsoft has issued a new security advisory after its...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna mijamaa mingine inapenda kublock watu baada ya kuona kashapata alichokuwa anakitafuta,ili kuweza kujua aliekublock fanya hivi njia rahisi......: Ingia kwenye MSN yako yaani sign in...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
I previously wrote some details on JF which I later on discovered they couldn't work for some users. I now need to put it like this:- ABOUT THE VIRUS: It consists of 3 files...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hivi ninawezaje kumzuia mtu asitumie internet kwenye pc yangu apart na kuweka password kwenye PC?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Makazini majumbani hata mashuleni tumeona komputa zikiingiliwa na virus basi mwenye komputa hiyo anapoteza moyo kabisa kwa sababu anafikiri data zake ndio zimeshaenda na maji tena hatokaa azipate...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
A reader points out a straightforward way for Windows users to transfer music from an iPod to your hard drive, without extra software: 1. Connect the iPod to your PC. If iTunes starts syncing (ie...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
by: Jane Smith The bigger your business is, the harder it can sometimes be to keep an eye on what’s happening with your software. All businesses need software for their computers; the type...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale wasiojua, Second Life ni dunia ya 3-D virtual ambayo imejengwa na watu. In my opinion. Second Life is the best thing ever happenned in a virtual and online World. Not even hi5, myspace...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
nimeikuta hii kwenye website ya gazeti la mwanahalisi....sijui wadu mnasemaje? nahisi kama some sort of uchochezi vile!!
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Back
Top Bottom