Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Kwa wataalam wa IT upande wa software engineering watakubaliana na Mimi kuwa udukuzi ni kitu cha kawaida kabisa katika tasinia ya technologia. Udukuzi hufanywa Mara nyingi sana. Lakini Kuna iana...
2 Reactions
9 Replies
943 Views
Tumeona feature nyingi zikitoka mwaka huu 2023 kwenye WhatsApp wanazidi kuendelea kufanya vyema sana kwenye ulimwengu wa Teknolojia. WhatsApp wanakuja na feature mpya ya kuweza kurahisisha mambo...
2 Reactions
19 Replies
863 Views
  • Redirect
.none
1 Reactions
Replies
Views
Kwa zaidi ya masaa 2 inaonekana kuna tatizo la upatikanaji wa huduma ya internet kwa provider wengi, kwa tetesi nilizopata kuna tatizo kwenye mkongo wa taifa , kuna njia 2 za zimekatika imebaki 1...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Tetesi toka kwa Ming-Chi Kuo kuanzia 2023 apple ataanza kutumia USB type C. Inawezekana ikawa ni shinikizo toka jumuiya ya Ulaya ikitaka makampuni yote ya simu yatumie standard moja ya kucharge.
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Ilianza kama utani hivi wengi wakawa hawa amini, wengi wakaanza kutoa kejeri na kumbeza kumuona limbukeni tena wengine wa kaanza kutukana na kumuona mjinga. Kwa kijana mdogo sana kufanya maamuzi...
31 Reactions
106 Replies
14K Views
Habari za Xmas niende Moja kwa Moja kwenye mada. Majuzi nilijiunga na mtandao huu. Hapo nyuma nikiwa natumia WhatsApp ya kawaida sikuona hizi mambo....kwa namna WhatsApp GB ilivyo ukiwa online...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Inasemekana kwamba kwa sasa M-Pesa MasterCard inapoExpire hakuna tena kuiendeleza kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma, na hii ni baada ya kujaribu kuiendeleza Card yangu iliyoExpire baada ya mwezi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habar wanajamvi,,,,,naomba msaada kama kuna anayejua process za kuhack game tajwa hapo juu anisaidie
1 Reactions
7 Replies
881 Views
Nimeazisha Kikundi cha kujifunza ufundi wa Madishi na kupata ujuzi zaidi hususani mafundi wenzangu join Hapa facebook
0 Reactions
3 Replies
836 Views
Forever IPTV language package (3500pcs+ HD&SD live online): Albanian Arabic Africa Brazil Bulgaria Chinese Czech Canada Cyfrowy Polsat Dutch French German Greek Hungarian Italian...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
vifurush gan vizur va internet
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari waku... Moja kwa moja niende kwenye mada.nilikua naomba kufahamishwa, kama nimeibiwa au kupoteza simu ya IPHONE naweza kuipataje? Maana naskia hizi cm ni rahisi sana kupatikana pindi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Why You Should Not Upgrade To Android 7.0 Nougat Sina Hakika Na hili Maana Sijaijaribu Hiyo Kitu ila ni kwa kuwatahadharisha tu. This is Why I May Never Upgrade to Android 7.0 Nougat This...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Jamani Masada wenu ningeomba kwa wajuzi wa computer watoe fani Zao wanazozijua iliwaniwezeshe niweze kuzifatilia kwaaudani zaidi
0 Reactions
9 Replies
1K Views
*Whatsapp 4G 4.0* is now released,You must install it Now to Enjoy latest features like *Top Whatsapp Group Links,* *Private msg without showing your number,* *Free wifi mode,* *who view your...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Source Alexa Jamii forums yashika nafasi ya 5 Tanzania kwa mitandao inayo tembelewa sana hapa bongo,jamiiforums ime mpiku millardayo,bongo5,udakuspecially ambayo iliyonekana kuja kwa kasi kipindi...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
I have been Rooting my Tecno Camon CX with Android 7.0 and it was successful. Now I am happy with my device...[emoji39][emoji39][emoji39]
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom