Nani kakublock MSN!

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Kuna mijamaa mingine inapenda kublock watu baada ya kuona kashapata alichokuwa anakitafuta,ili kuweza kujua aliekublock fanya hivi njia rahisi......:

Ingia kwenye MSN yako yaani sign in.....

Kisha nenda kwenye OPTION......

Alafu angalia kushoto utaona PRIVACY bonyeza pale.....

Yatakuja majina kushoto "allow list"......

Chagua jina moja moja RIGHT CLICK angalia kama alama ya DELETE iko active basi huyo jamaa kakublock and vise versa
 
Back
Top Bottom