Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Tahadhali inatolewa kwa wote wanaotumia condomu kuwa, utafiti umefanywa na umethibitisha kuwa ukitumia condomu kwa muda mrefu wanaume watakosa nguvu za kiume na hii imepelekea vijana wengi kutumia...
0 Reactions
72 Replies
55K Views
jamani ninaumwa ulimi kwa mbele yani unauma kama kunakidonda hivi...! na nikiupitisha kwenye meno yani ni balaa...! nisaidieni jamani nifanyejeee..>!?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wataalam naomba mnipe ujuz! Kulingana na hali ya hewa nliamua kununua Africafee sasa leo asubuh baada ya kunywa kama ilivyo kwaida mama hakuwa ametoka. Hivyo mida ya kama sa nne nikaamua kula...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Je una shida ya: :sick: Uume kushindwa kusimama, :sick:Unasimama unalegea, :sick:Unaingia na kuteleza teleza ovyo, :sick:Unasugua na kumwaga haraka haraka, :sick:ukisha fanya mara 1 unachoka...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Faida 10 za kiafya za Mayai Mayai ni moja ya vyakula vichache ambavyo naweza kuviweka katika kundi la vyakula ‘bora zaidi' kuliko vyote. Mayai yamejaa viinilishe mhimu na vingi kati ya...
2 Reactions
13 Replies
13K Views
Nikikaa nikaweka nne miguu baada ya muda mfupi nahisi ganzi miguuni au nikiweka mkono vibaya au kuuegemea? Tatizo ni nini?
1 Reactions
3 Replies
21K Views
Diane Kelly, a comparative biologist that studies anatomy, shares that there are basic facts about the human body that we’re still learning.During her talk at TEDMED, Kelly delved into how a...
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Wanajamvi ninaomba msaada wenu katika hili. Mimi nina tatizo moja nikianza kufanya mapenzi uume haulali kabisa hata kama ni usiku mzima hadi asubuhi, wasichana wananikimbia sasa. Nikikutana naye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu katika jukwaa hili, salaam. Nakuja kwenu kuomba ushauri juu ya matumizi mazuri ya kilevi (WISKY) hasa aina ya GRANTS. Nikili kabisa kuwa mimi si mtumiaji wa pombe, lakini kwa sababu...
1 Reactions
23 Replies
25K Views
Habari zenu, Naomba kujuzwa jamani, Mimi sina matatizo ya macho ila nilitamani kuvaa miwani za kawaida tu {zab kununua kwa machinga}. Ila tatizo linakuja, kwanini kila miwani...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu. Poleni na kazi. Mwenye utaalamu naomba afungukenaomba nijuzwenamna ya kupata baby girl m'period ya wife ni 22 au 23 kila mwezi
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Mtoto ana miezi mitatu na nahitaji kwenda kazini ni kipi cha kuanzá kumpa kati maziwa ya ng'ombe, uji wa dona nk. Naomba wenye uzoefu nimwenzishie lishe gani ili asidhurike tumbo.
0 Reactions
5 Replies
18K Views
Heshima kwenu wakuu. Naomba kujua nini kinasababisha binti ambaye hajazaa anatokwa na maziwa kwenye chuchu? Tiba yake ni nini?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za leo wanaJF. Mimi ni mzazi na mtoto wangu ana umri wa mwaka mmoja, ningependa kujua nimpe vyakula/ lishe ya aina gani mwanangu ili apate kurefuka kwa harakaharaka na kupata mwili...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Nina shangaa kuna jirani yangu alikuwa na VVU miaka mitano imepita akawa bado hajaanza kutumia dawa kwa kuwa CD4 hazijashuka. Ila cha kutushangaza ni kwamba kapimwa na madaktari kuangalia kama...
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Habari za asubuhi, Ni kwamba niko ugenini pande za wasukuma huku vijijini Kilimatinde ndani kabisa,sasa katika kuamka asubuhi imeandaliwa breakfast ya maboga na maziwa ya mgando. Sasa katika...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Tatizo la Unene Uliopitiliza (Obesity) Tatizo hili la unene uliopitiliza kuliko inavyohitajika kiafya huwa linaletwa na kuongezeka kwa kiwango cha mafuta mwilini. Njia rahisi na inayokubalika...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari za Jumatatu ndugu zangu, Siku tano zilizopita Mungu alinijaalia mtoto wa kiume. Sasa kuna baadhi ya watu wameniambia kuwa, kitivu cha mtoto kikidondokea kwenye uume wake mtoto anakuwa si...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Back
Top Bottom