Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mods, hii ni comment yangu katika moja ya mada, lakini kutokana na umuhimu wa mada hii kutokana na tatizo la mba na fungus hasa wa sehemu za siri kuwa sugu, nimeona nilifungulie uzi ili kuwahimiza...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Kuna jamaa yangu ameniambia ametumia magamba ya mdalasini ndani ya wiki moja mpaka wiki mbili akapungua kilo tatu. Hivyo nimeona Ni shirikishe wengine wenye shida ya kupungua uzito na mafuta.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanajanvi ni matumaini hamjambo,, Naomba ushauri juu ya tatizo la masikio ambalo nmelpata ghafla,, tatizo lenyewe ni kelele nyingi kichwan hali inayopelekea kutokusikia sauti znazotoka nje...
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Habar ndugu zangu naombeni ushauri juu ya kutibu/ kujikinga na vipele visababishwavyo na maambukizi ya retrovirus ( hiv ).
0 Reactions
0 Replies
484 Views
Mzuka wanaJF! Bora mungu akunyime IQ kuliko nguvu za kiume (manhood). Ni mtazamo wangu tu. Tatizo kubwa kwasasa linalopunguza nguvu za kiume kwa wanaume wengi hasa vijana ni ponography na...
5 Reactions
54 Replies
10K Views
ninavyosikia Daktari mwenye cheo kuanzia cha AMO, MD nakuendelea ndo wanaoruhusiwa kufanya postmoterm. sasa ningependa kujua ni sheria ipi au kanuni zipi zina wapa power ya kufanya postmoterm...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni mtoto kipenzi katika familia yangu baba na mama wananipenda sana na hilo nalijuwa lakin kuna kitu cha ziada kinanisumbuwa sana kutokana nimejaaliwa uwezo kipesa na familia iko vema sana...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Alcohol inaweza kupita kwenye damu ya mama na kumfikia mtoto... Madhara yake ni huwa inaathiri ukuaji wa chembe hai za ubongo, chembe hai za uti wa mgongo na chembehai nyingine za mtoto...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika hali ya kawaida ya binadamu muda wowote mtu waweza pata ajali au kupatwa na ugonjwa wa ghafla ukiwa mwenyewe mtaani au barabarani Je kwa nchi kama yetu ambapo hakuna kitengo vya dharura...
0 Reactions
0 Replies
586 Views
Inasemwa kuwa ugonjwa wawatoto wenye vichwa vikubwa husababishwa na mama/mtoto kukosa FOLIC ACID, na folic acids hupatikana sana kwenye MBOGA MBOGA na MATUNDA. Kwanini waathiriwa/wagonjwa wengi...
1 Reactions
3 Replies
896 Views
Mimi ni kijana wa kiume umri wa miake 26 ni na uzito wa kilo 62. Tatizo linalinipatani kuwa kadri muda unavuokwenda maziwa yangu yanazidi kuongeza hali inayonikosesha sana amani hata kuvua shati...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Wakuu ninaomba kujulishwa suala hili: Ni kwamba katika maisha ambayo nimeyazoea kwa sasa ni kwamba kila ifikapo jioni/usiku baada ya kazi zangu ni lazima nipate kilevi(angalau chupa 2 za bia) ndo...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Je Wajuwa ? ukikata kitunguu Maji nusu na Kukiweka kwenye chumba chako cha kulala. Kitakusaidia Sana Kitunguu Maji wakati umelala Kufyonza Bakteria Wote ikiwemo kumaliza Tatizo la Mafua.
8 Reactions
1 Replies
7K Views
Habari wana jf, Ndugu zangu ngiri imenikamata kweli kweli ngiri ya tumbo, yaani linauma ile mbaya toka juzi naombeni mnisaidie kujua dawa ya hii kitu, ngiri ya tumboni
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Tunajaribu kutafuta ufumbuzi wa upatikanaji wa ushauri na habari za kiafya kwa ubora zaidi kuliko ilivyo sasa. Utafiti wetu umeonyesha kwamba ni tatizo kwa wengi wetu kupata ushauri au habari za...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kujua kama kuna kipimo cha kitaalamu kinachoweza kuonyesha kuwa mtu fulani katika kipindi fulani cha maisha yake aliwahi kutumia bangi au aina nyingine ya madawa ya kulevya.
4 Reactions
24 Replies
5K Views
nimewahi yumia dawa hii na kupata madhara kumbe nilikosea maelekezo, maelekezo sahihi ni haya kumbuka kwamba dose moja kwa mtu mzima ni vidonge 4 na anatumia jumla ya dose sita yaani vidonge 24...
0 Reactions
5 Replies
29K Views
Big step towards cure for HIV and other lifelong viral infections Date: August 3, 2016 Summary: New research has taken us a step closer to finding a cure for human immunodeficiency virus (HIV)...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilikuwa natazama juu kipindi mwanga unapotea. Sasa naona macho yangu yameharibika hata mishipa ya juu imevimba.. Msaada nini nifanya cha Haruka. Naogopa kupofiukA
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Hii kitu unaongea na mtu jambo la msingi linalochosha mawazo, unashanga eti katoa sigara na kuiwasha, pafu 1, 2, eti mawazo yamepungua. Niliwahi kuvuta mara moja nikaishia kaumwa na Kufua na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom