Wakwangu Atakuwa na Miezi Mitatu kesho; Uzoefu Mrs toka Mwanzo Maziwa Yalikuwa Hayatoshi hivyo Tumeanza Day 2 Maziwa ya Kopo S26, lakini Pia akawa Hashibi.. S
Solution: Baada ya Kumaliza Miezi Miwili Mrs. aliamua Kutumia Unga wa Mahindi bila ukoboa ila Yaoshe Vizuri na Nunua Miogo Menya na UVundike Kausha then Saga Pamoja na Mahindi. Usitumie Lishe Bado Mdogo. Afya ya Mwanangu ni Bomba sana.