Nina shangaa kuna jirani yangu alikuwa na VVU miaka mitano imepita akawa bado hajaanza kutumia dawa kwa kuwa CD4 hazijashuka.
Ila cha kutushangaza ni kwamba kapimwa na madaktari kuangalia kama CD4 zimeshuka wamuanzishie dozi wanashangaa kukuta hana VVU tena.
Sasa wadau hapo ni nini? Kwamba huyo jamaa ana kinga sana hadi kapona? Au nini Kwa wataalamu wetu wa afya msaidie hapo.