Wadau habari ya mapambano,naomba kujua hali ya corona ipo vp hapo mitaa yenu, home kwangu familia nzima imepigwa na mafua makali sana.
Na kwa upande wa wife dalili ndo kama zile za awamu ilee...
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema kuwa Serikali imeondoa ulazima wa kuvaa barakoa isipokuwa pale inapobidi, mfano kwa wale wenye magojwa ya mfumo wa hewa na kwenye mikusanyiko ya ndani...
Kwa mara ya kwanza duniani, nchi ya China imeidhinisha matumizi ya chanjo ya kupambana na ugonjwa wa COVID-19 inayotolewa kwa njia ya kuvuta kiasi kidogo cha dozi kupitia pua.
Chanjo hiyo...
Nina flue, napiga chafya, nahohoa, naahirisha mwili unauma na kuchoka pia sina hamu yakula ila sina home.
Je inaweza kuwa ni Codid? Nianza dose ya Azuma.
Naomba jukwaa linishauri
Leo nimesikia watu wenye damu group O hawasumbuliwi sana na Corona. Hivi damu group hili ina nini special, mambo mengi nasikia wenye group wanapeta hata magonjwa ya kawaida.
Wadau na Wakuu heshima yenu,
Naomba Kuuliza maswali ya Mtu nisielewa Kuhusu Afya na Kirusi,
Naomba Msinicheke...
Nahitaji Elimu wandugu.
Naomba Kuuliza kwa wataalam:
Hivi Kama Mtu hajachanjwa...
Wataalamu wetu wanashauri tupate chanjo ya Covid, lakini waliojiongeza na kutumia vitamin B12 pamoja na chanjo waliweza kupambana na maambukizi ya Covid na kupona haraka.
Kuna wakati Vitamin B12...
Guys,
Nimepata Choja ya covid19 week ya kwanza tu ya utojia,
Hadi leo sijapata message ya kupata cheti,
Naona wanaona choma hivi karibu wanapata message zina link ya cheti,
Njia gani naweza...
Upotoshaji mkubwa kuhusu chanjo ya COVID-19 unaonyesha jinsi jamii ilivyo na uelewa mdogo kuhusu chanjo zote kwa ujumla.
Hii jamii isiyojua pia inapotoshwa na wenzao wasiojua. Unakuta mtu ame...
Kwani ukichomwa sindano, kinachobakia mwilini ni sindano yenyewe au ni dawa?
Mbona sindano ya Maria Carey imeingia mwilini na haikutoka?
Anafanya hivyo ili iweje?
Ili mimi na wewe tuende kisha...
Tumeona kati ya watu 200 million walioambukizwa na kuugua ugonjwa wa COVID-19, ni watu milioni 4 tu wamekufa. Ina maana zaidi ya million 190 wamepona bila kuwa na na specific treatment ya ugonjwa...
Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa unapopata Chanjo za COVID-19 hazidhibiti mwili kutopata #COVID19 kwa mara nyingine. Chanjo zinaepusha mwili kupata homa kali na vifo vitokanavyo na COVID-19...
Ufanyaji wa mazoezi kila siku unapunguza hatari ya kupata virusi vya COVID-19 au kupata homa kali ya mapafu.
Mazoezi yanaimarisha kinga mwili na kuondoa sumu ambazo zinausaidia mwili kupambana...
Upotoshaji mkubwa kuhusu chanjo ya COVID-19 unaonyesha jinsi jamii ilivyo na uelewa mdogo kuhusu chanjo zote kwa ujumla.
Hii jamii isiyojua pia inapotoshwa na wenzao wasiojua. Unakuta mtu ame...
Baada ya kuchomwa chanjo ya COVID-19 Jana mida ya saa5 asubuhi, ilipofika mida ya saa12 jioni nikaanza kujisikia vibaya yaani homa ilinivamia ghafla usiku mzima nilikuwa najisikia kichwa hakipo...
“You can be wrong if you’re dealing with information that is evolving.” The data about covid-19 and the vaccines seems to change nearly every day; for those of us with potentially confounding...
Naomba tu kuelimishwa maana halisi ya " booster vaccine" kwa wale waliochanjwa Astra zeneca
Ahsante kwa ushirikiano utakaoutoa.
Mungu ni mwema wakati wote!
NJIA YA KUJIKINGA NA MLIPUKO WA VIRUSI VYA HOMA YA MAPAFU AKA CORONAVIRUS
1) Njia ya Kwanza Kaa nyumbani hiyo ndio njia kubwa ya kujikinga na huo Mlipuko wa mambukiz ya homa ya Mapafu Ukikaa...
Habari 👋🏾
Kumekuwa na hali ya watu wengi kupuuza na kutokuchukua tahadhari ya ugonjwa wa UVIKO na wengine wakienda mbali kudai hakuna ugonjwa kama huo. Napenda kuwaambia COVID-19 deadly Delta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.