Hello wana Forum,
Ni imani yangu kwamba baadhi humu mnautambua ugonjwa huo tajwa. Sasa mimi nina ndugu yangu wa karibu ambaye anasumbuliwa na kichwa ambacho kila nikitafakari nazidi kupata hisia...
Mwezi wa 8 mwaka huu 2016 ulikuwa mwezi ambao watu wengi niliwaona wakifanya mazoezi ya miili yao kwa ajili ya kujenga afya zao kuliko kawaida tuwaonavyo siku zote, lakini ninashangaa mwezi huu wa...
Je kitendo cha kukaza kwa misuli ya mguu hua mara nyingi inawapata wachezaji wa mpira wa miguu kinaitwaje kisayansi na kinasababishwa nanini?????? Naombeni mnisaidie wana JF
Heshima kwenu wana JF,
Kuna hii tatizo la viganja vya miguu kuwaka moto na haswa tatizo linakuwa kubwa nyakati za usiku wakati wa kulala mpaka unashindwa kupata usingizi kwa...
wataalam wa jf nimekuwa napata shida wakati wa usiku ninaposhtuka kutoka usingizini, ninasikia vidole vya mikononi vimekufa ganzi.
Hali hii ikitokea inachukua kama sekunde 30 ndo hali inarudia...
Nimekua nikihangaika sana wakuu kwa kutafuta ni dawa gani itanisaidia lakini nimefikia kuambulia matokeo mabovu..nimeshatumia vidonge mwezi mzima lkn ni kma nachochea..unaanzia kichwani mpaka...
Nilianza kuota ndevu takribani miaka 7 iliyopita, katika miaka 2 ya mwanzo nilifurahia kua na ndevu na nilinyoa ndevu kwa staili yoyote ile niipendayo.
Baada ya muda huo nilianza kusumbuliwa na...
Mwezi wa 6, nliweka uzi kwamba nlitembea na dem mwenye ukimwi tarehe 15-06-2016 nlipiga kavu mara3 mfululizo nkashtuliwa kesho yake kwama demu kaathirika fasta nkamfata nkamwambia twende tukachek...
Nilipata matatizo kama miezi 6 iliyopita stress zote nikazihamisha kwenye chakula. Nimeongezeka uzito na mwili ambao kuupata kwa muda mrefu gym unaanza kupotea, nimepata likizo nataka kufanya a...
Habarini ndugu zangu wa humu! natumaini wote humu ni wazima wa afya. wataalamu mimi nataka nirefushe mdudu wangu ikiwezekana ufikie INCH 6 na unene unaotosha kwa matumizi yale. mimi nnao wa...
Kuna kautafiti kamefanywa eti wanawake wanapenda sana kuhudumiwa na madaktari wanaume sababu ni wapole na wanawajali. Je wadada/wanawake hii ni kweli mnapenda kuhudumiwa na madaktari wanaume...
Habari wandugu!
Nina mwenzangu ambaye ana ujauzito wa miez 4 sasa. lakin kwa bahati nzuri/mbaya siishi nae .Yeye yupo Iringa na Mimi nipo Mwanza. Hivyo basi ningependa kujua mbali na matumizi ya...
Hello JF doctors
Hebu tupeane Elimu kidogo hapa Je Ni Kawaida kwa Mwanamke Kubleed baada Ya Mimba Kujulikana Week 3 baadae. Na Bleed yake Ni Nyepesi ya Kawaida kama anavyopata
Nimejaribu...
Me ni mdada mwenye umri wa miaka 25 nimekuwa nikipata vichomi sehemu za siri haswa siku ya 12-15 ya mzunguko wangu wa hedhi. Yani vichomi vinakuwa vikali hata kutembea inakuwa kazi,mara nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.