Zzk 2013

Zzk 2013

Wizzo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
723
Reaction score
256
Jicho hilo jamani jicho zito
 
Attachments

  • 564855_455012687893681_320684889_n.jpg
    564855_455012687893681_320684889_n.jpg
    23.3 KB · Views: 950
Huyo aliyenae ndo FIRST LADY nini??? Kila la Heri FL ukiingia Ikulu na wewe uanzishe WAMA yako eeeh!!!

Nakumbuka hata Anne Kilango alikuwa anajiita FL wakati Dingi ake LeMutuz anautaka Upresidaa...
 
I doubt,hii picha itakuwa ya kutengeneza,sijawahi kumuona Zitto akiwa na nywele nyingi kiasi hiki!
 
hio picha ni kweli bwana mi mwaka 2007 zito alikua na nywele
 
I doubt,hii picha itakuwa ya kutengeneza,sijawahi kumuona Zitto akiwa na nywele nyingi kiasi hiki!

Watu huwa wanabadilika sana. Tukiwa tunasoma nae jamaa alikuwa mtu wa kufuga afro
 
Huyo aliyenae ndo FIRST LADY nini??? Kila la Heri FL ukiingia Ikulu na wewe uanzishe WAMA yako eeeh!!!

Nakumbuka hata Anne Kilango alikuwa anajiita FL wakati Dingi ake LeMutuz anautaka Upresidaa...
He he he! Na Le mutuz alishaanza kujiita nani? Prince au 1st son?
 
Back
Top Bottom