zuzu

zuzu

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
1,465
Reaction score
1,235
Zuzu alipiga simu hospitali ya wagonjwa wa akili, akapokelewa na mfanyakazi wa mapokezi.
Zuzu: Nataka kujua kama chumba namba 17 kina mtu.
Dada wa mapokezi: Subiri niangalie.
Zuzu: Sawa.
Dada wa mapokezi: Nimekwenda kuangalia hakuna mtu. Lakini sijui kwa nini umeuliza hivyo.
Zuzu: Nilitaka kupata uhakika kama kweli nimetoroka au bado nimo humo.
 
ha ha ha!
 
Akh! Bahati yake,angemwambia wenzake wamekabidhiwa gari ya kutembelea kila mmoja,akjileta charaza bakora akome kumsumbua
 
Radio One, habari nyepesinyepesi kumbe jamaa na donoa humu, nimesha mshtukiaa!!!
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Tunduma Mbeya.
 
Back
Top Bottom