zuzu na picha ya dokta

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,377
58,384
Zuzu mmoja alikuwa anaumwa sana,akaamua kueka
picha ya daktari kwa ukuta wa chumba chake. Ghafla akatembelewa na marafiki zake,walipoona
picha ukutani wakamuuliza,"Hio picha ukutani ni ya
nani?" Zuzu akajibu,"Si ni ya dokta." Wakamuuliza,"Mbona umeiweka hapo?" Akajibu,"Nilienda phamacy kununua
dawa,wakanishauri maumivu yakizidi nimuone
dakatari!"
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom