GE2025 Zungu: Rais Samia ameimarisha amani, utulivu na haki nchini.

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

veyra

Member
Joined
Aug 31, 2025
Posts
19
Reaction score
29
Mgombea Ubunge wa jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi imara ambaye amefanya kazi kubwa ya kuimarisha amani, utulivu na haki nchini.

Akizungumza leo Agosti 31, 2025 kwenye uzinduzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi @ccmtanzania kwa Mkoa wa Dar Es Salaam uliofanyika katika viwanja vya Sokoine,Temeke, Zungu amewaomba wananchi hao kumchagua mgombea Urais wa CCM ambaye ni Dkt. Samia ili aendelee kufanya makubwa nchini.

“Mama Samia kaifanya Tanzania leo katika takwimu zilizotoka kwa bara la Afrika kuwa ndiyo ya kwanza kwa amani uhuru na haki za wananchi wake” amesema Zungu

Aidha Zungu amewataka wanachama wa CCM kujitokeza kupiga kura huku wakiwahamasisha na wenzao ili kuiwezesha CCM kupata kura nyingi kwa nafasi zote za kugombea.
1756654587046.png
 
Mgombea Ubunge wa jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi imara ambaye amefanya kazi kubwa ya kuimarisha amani, utulivu na haki nchini.

Akizungumza leo Agosti 31, 2025 kwenye uzinduzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi @ccmtanzania kwa Mkoa wa Dar Es Salaam uliofanyika katika viwanja vya Sokoine,Temeke, Zungu amewaomba wananchi hao kumchagua mgombea Urais wa CCM ambaye ni Dkt. Samia ili aendelee kufanya makubwa nchini.

“Mama Samia kaifanya Tanzania leo katika takwimu zilizotoka kwa bara la Afrika kuwa ndiyo ya kwanza kwa amani uhuru na haki za wananchi wake” amesema Zungu

Aidha Zungu amewataka wanachama wa CCM kujitokeza kupiga kura huku wakiwahamasisha na wenzao ili kuiwezesha CCM kupata kura nyingi kwa nafasi zote za kugombea.View attachment 3460444
maponjolo ya kuvamia nchi za weusi
 
Unaitaja haki kwakuwa familia yako inashiba na unalindwa ila vaa viatu vya familia za kina Mzee Ally Mohamed KIBAO et al
 
Back
Top Bottom