Zuma to marry - again!

pole sana kwa udhibitisho gani?
kwa 2012 mume mwenye kuwa na uhusiano na mtu mmoja(siyo lazima sex) ni mgonjwa! hata wa kumliwaza kwa simu?

Wala si ugonjwa, na wako wengi sana tu wenye mke mmoja, wa kwangu akiwa mmojawapo. Pole wewe mwenye wake wengi.
 
labda kama umemmeza na anaishi tumboni kwako

Unajua Smile, kwanini nisimwamini. Kwanini niishi maisha ya taabu na wasiwasi ya kuamini kuwa mume wangu ana wanawake wengine wakati maisha yake yananionyesha kuwa yako wazi sana mbele zangu??!!!. Ninachojua na kukiamini ni kuwa hana! Naishi kwa amani zangu!
 
Unajua Smile, kwanini nisimwamini. Kwanini niishi maisha ya taabu na wasiwasi ya kuamini kuwa mume wangu ana wanawake wengine wakati maisha yake yananionyesha kuwa yako wazi sana mbele zangu??!!!. Ninachojua na kukiamini ni kuwa hana! Naishi kwa amani zangu!
amini tu lakini tupo
kuna wanaume wajanja nadhani mume wako ni mjanja
hvi mwanaume kama the boss mkewe anaweza kujua kama mumewe anatembea nje kweli,jamaa lilivo na matechnique yqya kucheat?
 
gg.Com anajua wanaume wa aina hii hawapo tena...


No sina maana hiyo, ukweli ni kwamba wanawake mara nyingi(siyo zote) hupenda kuelezwa uongo.Lakini tambua kuwa unapomtafuta second one or third one lazima umueleze uwepo wa mwingine (mke) akikubali mnaendelea(hapa naongelea zuma) hukiona anasura ya kutaka kuwa mwenyewe pekee(kama wew na wenzako) basiu unamweleza kuwa huna mtu na penzi linaendelea.
 
Ukimuuliza atakuambia ni mila za kiafrika...

Huyu jamaa ni fedheha ya Afrika,no wonder alilala na mwanamke mwenye HIV kisha baadae kujenga hoja dhaifu kwamba alipoamaliza alioga(he washed away the virus)....Ptuuu!
 
PRESIDENT Jacob Zuma will tie the knot again next weekend in a traditional ceremony in Nkandla.

Naona umri kama umeenda ..anawezaje kuwaridhisha hawa wote?

View attachment 51830
1st Lady nani kakuambia sex inaenda na umri? Sex inaenda na akili ya mtu, kama mtu anawaza sana sex basi lazima atakuwa anapenda sana sex, kama anawaza sana nyama lazima atakuwa anapenda nyama ndo maisha yanavyo enda.


Zuma in mwanaume wa shoka.
 
Back
Top Bottom