linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,733
- 4,393
Sasa kwann usilipe hela kamili?? Computer imesetiwa 25,000 we unalipa pungufu biashara gan hyo? Na kama ulukuwa kwenye kifurushi cha elf25 ukilipa pungufu lzma uwapigie wakuunganishe na kifurush kingineZuku wanaboa sana hususani kwenye local chanel na katika kifurushi chao cha 25000 ukilipia 24990 hupati huduma