Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,316
Inanikera sana tabia yao ya kurudia Swahili movies. Pia hawaweki filamu za Kanumba. Hawa jamaa wanakera mno. King'amuzi gani nitakuwa nakula hadi muvi za Kanumba?Nimekuma kuwa na king'amuzi hiki cha kienyeji. Pia nataka ambacho hata kama nisipolipia nitapata local chanels kama kawaida.