Zuku decoder installations | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zuku decoder installations

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Radio Producer, Oct 31, 2012.

 1. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Wadau'
  naomba msaada wenu kuna zuku imewekwa hapa ndani mpya kila ukibonyeza inaomba password. nisaidieni. au inaanfika service is currently scrambled.
  nifanyeje wadau maana mawakala ninaoongea nao ni pumba tupu hakuna cha maana.
   
 2. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Pole producer, uko pande gani? Wakati wananifanyia installation eti walikuwa wanaficha nisione password. It is 0000, the default one hata kitabu chake wameandika. Una kifurushi gani, na ni stesheni gani hiyo? I will soon try to be working my way kui-'modify'. Nimegundua ni open source.
   
 3. atubariki

  atubariki JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kam vipi hiyo dekoda karudishie uliko inunua na wkubadilishie hiyo ndo suluhu yako vinginevyo itakusumbua sana
   
 4. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  kama alivyoaandika mudao code ni 0000 na kama umelipia kifurushi na bado haionyeshi nenda kwenye sehemu ya software u update ,code baado ni 0000 na kama bado hupati angalia setting za dish lako huenda nyaya hazijafungwa vizuri na mwishowe ikishindikanika nenda kwa wakala wao ila andaa kama 20,000 za kumlipa fundi wa wakala,kila la kheri katika ulimwengu wa Zuku broda
   
 5. M

  Mchakatoh JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wadau naomba mnisaidie jinsi ya ku activate decoder ie.jinsi ya kupata ac.no & smart card ya zuku>maana reseller na customer care wameshndwa kunsaidia>kila siku naambiwa eti fom bado haijafka toka mwz8 mpaka leo>yaani naangalia zuku zone tu kila cku>naômben msaada plz!!
   
 6. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ha ha ha, pole man. sio kwamba nakucheka, la hasha, ni kicheko cha sikitiko, yaani we umekomaa na Zuku Zone tu. duh!
  uko mkoa gani? wapigie makao makuu bila kuwachekea, maana activation huwa wanafanya online, unloess kama reselller wamekuzingua, haiwezi chelewa hivyo. mradi unajua a/c no yako, wapigie u-inquire.
   
 7. N

  Norkym New Member

  #7
  Mar 16, 2013
  Joined: Mar 16, 2013
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  if its indicating "E16 service currently scrambled"installition is proper.try upgrading software but if its indicating"E52 searching for signal"problem is installition find an installer.
   
 8. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2013
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  funga dish lako vizur.hakikisha limekaza vizuri.pia litazame upande wa mashariki kule tunapopatia chanel za bongo.weka uelekeo wa nyuz 57 EAST.ukishindwa sema.
   
Loading...