mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 843
- 1,363
Msanii Zuchu ametoa wimbo wake wa sukari akiwa yeye peke yake na ndani ya miezi sita una views milioni 47.9, huku sikomi Diamond ina views mil 51 miaka mitatu, Sasa hizi ndio nyimbo zenye views wengi kwa wasanii bila assist/featuring, kwa hiyo Zuchu anaenda weka record ambayo sidhani Kama Kuna Mtanzania yeyote ataivunja yaani wimbo wenye views wengi kwa mtanzania akiwa peke yake bila pasi
Diamond na Nandy inabidi wamuheshimu Sana Zuchu amewazidi kwakweli
Diamond na Nandy inabidi wamuheshimu Sana Zuchu amewazidi kwakweli