zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Mambo zenu wadau wa chit chat........
Aiseee kila nikiwa pande hizi huwa nakosa rahaaaaa kabisa tofauti na chit-chat ya mkoloni mwenyekiti wa kudumu alie wahi kupinduliwa na KURUDI kwa ndumba za keybord..........
chit-chat ya miaka hiyo hakuna kununa humuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.......watu wanakesha kabisa......ndoa za kumwaga kuliko za mtaaaaani.........
........endelea na wewe unachokumbuka............