Msherwa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 1,323
- 1,232
😛hone:
Wakuu msaada kwa anayejua jinsi ya kuifanya modem ya aitrtel ZTE MF190 iweze kusupport call services,
Nimejaribu kuidownload na kutumia Metfone 3g, But nayo ipo vilevile tu kama dashboard ya airtel japo speed imeongezeka, mimi shida yangu iwe na uwezo wa kumake call na kureceive, nawasilisha wakuu ....