Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
Bado sijajua jinsi ya ku-set modem iwe katika WCDMA only.Nilipokuwa na window 7,nilikuwa naenda options>>network>>halafu nina-select kati ya WCDMA only,WCDMA preffered,GSM only na GSM preffered.Sasa huku kwenye zorin os sijui nifanyeje ukizingatia ile dashboard ya modem yangu ya Voda haitaki kufanya kazi katika Zorin os.Msaada please.