zoom@Tz NIMEWAKUBALI

Mnakosea sana mnampo mfananisha YESU na MUNGU !
 
Mnakosea sana mnampo mfananisha YESU na MUNGU !

Ndio ni makosa makubwa kumfananisha Yesu na Mungu kwani hafanani nae, kwani Yesu ni Mungu na hana wa kufanana nae.

Hope umenisoma! Ubarikiwe na DAMU ya Yesu na neema ya wokovu wake ikupate. Sema aaaamen!
 
yesu ni Mungu
 
Mhh ni kweli hii au ndo kama ule usanii wa kujiangusa-angusa...?
Tuambie jina la hilo shirika basi ili tuweze kudedevua. Maana hii inasaundi kama kujifagilia fagilia...
 
Hatudanganyiki hata kidogo, huyo mujumba ni miongoni mwa washikadau wajuu wa mtandao wa zoom, baada ya kuona watu wakilalamikia ulaghai unaofanywa na zoom ameona aje na njia ya kuwasfisha hao zoom! zoom hawasafishiki hata kidogo-
 
Mhh ni kweli hii au ndo kama ule usanii wa kujiangusa-angusa...?
Tuambie jina la hilo shirika basi ili tuweze kudedevua. Maana hii inasaundi kama kujifagilia fagilia...

Hata mimi nashangaa mshahara wa 1.2 wakupe gari na nyumba? Labda ni dereva huyu.
 
Mimi najua Zoom TZ Tanzania Jobs | Jobs in Tanzania | Tanzania Employment ni kama watangazaji wa nafasi za kazi na hasa wauzaji kupitia minada Mgari na vitu mbalimbali
unachotakiwa ni kuwatumia picha za hicho kitu (gari, pikipiki, mtumbwi nk) detail na contact zako baada ya kuona ukitakacho.
Kwa hiyo siwezi mbishia Mujumba anaweza kuwa kapata kazi na yupo JF
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…