zoom@Tz NIMEWAKUBALI

unapost m cv kila mtu anausoma! §4@<j6

so alale na njaa kwa kuhofia cv yake kusomwa na kila mtu? Wewe huwezi post ya kwako because you are a failure. Idiot.
 
Hongera bro Mujumba and all the best as you start your new job. We at JF are happy for you.
 
tangazo ilo utalilipia
 
Hongera sana,mweke Mungu mbele hatokuweka nyuma
 
hapo kwenye red tu mkuu...umenifurahisha sana kutambua mchango wake kwenye maisha yako......in fact ukweli ndio huotu hamna lingine sasa kama haamini ajaribu kutumia nguve zake na akili zake mwenyewe aone kama hujakaa benchi mpaka mwisho wa msimu wa kutafuta ajira...!
 
sawa mkuu, maisha haya bila Mungu ni ubatili mtupu

Hahaha! Mkuu Mujumba, kwa bahati mbaya mimi ni mfuatiliaji sana wa records zako humu JF.
Nakumbuka kipindi cha kesi ya Lulu ulitamba sana kwamba wewe ni Mwanasheria mahiri, na kwamba unaishi Afrika kusini, eti unataka kujitolea kumsaidia huyo mtoto(Lulu). Kumbe ulikuwa unacheza na akili zetu, kwa kufanya Ujanja ujanja tu?

Ukiendelea kudanganya nitauleta huo uzi hapa!
 

tupe link mkuu!!!!!! hapa napata harufu ya usanii usanii!!!!!!!!!!!
 
Uongo mtupu


 

Sifa na Utukufu kwa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…