Zomea zomea yamwangukia Mwakyembe

Kaka unataka kumpotezea mwenzako Tonge mdomoni? hayo yote anayajua na ni mwanasheria numberi 1, Nyie potezeeni tu, Mpendazoe acha kuwakumbusha watu yaliyopita.

Kwa sasa ni kuvuana magamba sasa hayo mengine tena ya zamani ni ya nini tena?
 
siioni sababu za kujiuzuru kwa hili...labda lile la jimboni kwake kukataliwa na wapiga kura wake na sugu kulishika jimbo hilo:israel: kwa muda..
 
pole mwakiembe, tulikushauri utoke kwenye hicho chama cha magamba ukakataa. sasa wananchi wameshtuka kwamba shida siyo mtu bali ni mfumo mzima wa ccm
 
Mwakyembe ni FISADI kuliko hao anaowataja, sema yeye ni mwanasheria, hatumii jina lake, lakini fisadi mkubwa asitudanganye chochote

HE DIDN'T DECLARE HIS CONFLICT OF INTEREST. Naye ana kampuni inayojishughulisha na mambo ya umeme.
 
Kaka unataka kumpotezea mwenzako Tonge mdomoni? hayo yote anayajua na ni mwanasheria numberi 1, Nyie potezeeni tu, Mpendazoe acha kuwakumbusha watu yaliyopita.

Kwa sasa ni kuvuana magamba sasa hayo mengine tena ya zamani ni ya nini tena?

CDM pia ielewe kuwa wale wanaochangia katika vita hii ya kuwaondoa makupe wa nchi hii hata kwa sehemu ndogo lazima walindwe kiasi fulani. Makosa yao kuya by pass siyo mbaya kwani significance yake katika taifa si kubwa sana. Kwenye kila kitu kuna stages na katika mojawapo ni kuwapa protection wale wote hata kwa kiasi kidogo wanasababisha impact ya kiasi fulani towards a positive direction hii iko backed na thoeries nyingi sana za innovation na development kama kuna mtu anabisha basi google tu kwa key words 'key issues to consider in innovation and technological system building'. Mchango wa Mwakyembe kwenye ishu ya ufisadi si mdogo. Kuiangusha serikali haikuwa just an easy task. CDM chonde chonde jaribuni ku balance vita vyenu. Siasa muipeleke hasa na kuwashindilia akina RACHEL and the core ambao hata bila macho ya darubini wanaonekana ni mafisadi kwani shuguli zao za kiuchumi na historia yao inajulikana as much as walivyojikusanyia wametengeneza bonde kubwa katika uchumi wa nchi yetu. Vita vyetu tuvilelekeze huko zaidi.
 
pole mwakiembe, tulikushauri utoke kwenye hicho chama cha magamba ukakataa. sasa wananchi wameshtuka kwamba shida siyo mtu bali ni mfumo mzima wa ccm

Atoke ili tutengeneze CCM nyingine yenye jina la CDM? Nyie watanzania dont compromise priniciples za maisha kwa njaa na shida ya muda mfupi. Yeye anapaswa hasa kubaki huko ili CDM ikiingia kwenye power basi vichwa vingine vibaki kuwa moderate hao watakao kuwa in power. CCM ingeipeleka hii nchi sehemu ambayo nchi zingine Africa zisingeweza kufika kama tu wasinge tumia coherent system iliyojengwa na Nyerere kubaka uchumi wa taifa. Hii system ilibidi iwe ya serikali na CCM kama chama kingepaswa kuanza kama vyama vingine tulipoingia kwenye siasa ya vyama vingi. Bahati mbaya Mwinyi hakutupa hiyo nafasi alishindwa kuiondoa CCM kwenye system ya serikali na Mkapa ndiyo hasa akaamua kupunguza walaji kwenye system na kuingiza midomo michache na hivyo hao kwakutumia mali za umma ku transform from wajamaa kuwa mabepari. Ubepari ungeingiwa bila kuiba mali ya umma na kujimilikisha say kwa ku innovate njia zao za uchumi leo Dr. Slaa asingekuwa na chakuwaambia watanzania. Lakini ubaya ni kuwa walitumia style ya majambazi kujipachika kuwa mabepari wa nchi hii. Yes they are robbers hakuna hata mmoja aliye innovate technology ya kurahisisha uingizaji wa cash wanayoipata; kama kuna mmoja na aje public atuambie hiyo capital aliipata wapi na kwa njia gani kama si wizi wa public funds kwa jina la kugaramia uchaguzi (EPA, IPTL etc) wa chama cha magamba huku % kubwa ikielekezwa kwenye miradi feki ya tender za serikali (RICHMOND, DOWANS, Buzwagi, Meremeter etc) kwakupitia nafasi zao huko ambapo walihonga wapiga kura ili wawepo huko katika system waendeleze uwizi badala ya kuchuma kwakutumia akili na nguvu zao.
 
Back
Top Bottom