Yaani watu wanashabikia nitafunwe na zombie? Hamnitakii mema
Hahahahahahahahhahah,
Hebu acheni kunichekesha nyie wajukuu....Nani kawambia mambo ya kumoyo yanaamuliwa kwa ngumi, mateke na vichwa??
Maadam keshapata nafasi hata ya kufunguliwa uzi, hata status yake huyo Zombie itabadilika soon!
Mie yangu macho....
Babu DC!!
Kwani Zombie siyo binadamu??
Au wewe unasoma vitabu bila hata kuvitoa kwenye mabox yake?
Mpe nafasi haalfu uone matokeo...na hata usipompatia, jamaa keshaitafuta na sasa anasoma orange light...what next, must be a green light for sure!
Babu DC!!
Mbona mie naona kama siku za mavuno haziko mbali?
Jitihada za Zombie a.k.a msukule karibia zinalipa....
Anyway..simba mwenda kimya siyo kwamba ana malaria...lol!!
Babu DC!!
Malizia babu DC, baada ya green light?
:A S-cry::shocked:Unatakiwa usaisdie kuokoa jahazi
Haya maneno yako yamenitisha sana
Ngoja nikaze buti, i can see niko alone hapa jf
Watu wananisukuma tu nimwangukie zombie
Kama ulishasimama pale Magomeni au Faya (Fire), basi utajua ni kwa jinsi gani magari huwa yanatoka nduki......
I can't imagine siku ambayo Zombie atatandikiwa meza ili aikuje dinner....
I bet, he will shed tears......na hapo sijui mdogo wangu Kongosho atakuwa katika hali gani na dunia ipi...it will be obviously wonderfu for both of them!!
Babu DC!!
kumbe na wewe ulikuwa zombie hahahahahahaahahahahaahah pole sanaKongosho umepatikana!!..eti saa zingine natamani anipigie simu..we!..kweli ndege mjanja hunaswa na tundu la kiujanja..Hatimaye zombie kapata fahamu..pacha snowhite naona unataka kunipeperushia ndege wangu..manake na mie uzombie ulinishinda nikacross border..Mdogo wangu lara 1 ahsante kwa kunikomboa kwenye uzombie..mbona ningeoza bila kujifahamu!....
we funga thread mi natafuta nguo ya kwenda kwa mama Kongosho kwa ajili ya mahari,manake ntamsindikiza zomb....ah soryyys shemeji!na kuanzia leo wewe utakuwa wifi yangu manake nimejitolea kabisa kuwa kwenye msafara wa kwenda kutoa mahari! nivea wud yu mind to check how best wdu our kaka atatokea!please!Kwa ujio huu wa Babu Dark City na Kokutona, sred closed!
sijanasa bado, huu mchakato tu Koku
sikubali kushindwa kirahisi.