Ulipewa bure toa bure, kwani ya kupulizia moto hiyo? Au ya kuchotea maji?
halo halo ngoja mi nianza kabisa kutafuta colour of the wedding! hahahahahahahahhaha nakuja sasa hivi!hivi ni bahati kumbe??
Dah, wee naye umenipa jipya
sijawahi kula zombie aisee, hili litakuwa la kwanza.
Afu naona limejiandaa kuchukua jumula.
AMPE ZOMBIE WA WATU!APUMZIKE!APUMUWE KIDOGO lol!
mmmh, roho inauma nikisikia hivyo.
sasa umenijibu vyema wala usijali kabisa poa moyo, poa moyo best.
ch kufanya mpeleke hewani laivu mwambie mazima kwamba humfeel na wala hutak kuwasiliana nae. ukiaka kumuua nyani usimwangalie usoni just tell him straight.
ukiona habanduki kaganda ujue virse versa is true.
Simpo. Jibu unalo. Kama wewe si mla mizoga basi huyu asikulegeze magoti. Ila kama ni mama tapatapa kweli itakula kwako. Funga moyo na usikilize nafsi yako. Kama hujaolewa na unaona anafaa si vibaya kuunganisha ila huwa nashauri mpimeni jamani hata kama mliwahi kukwanguana huko siku za nyuma. Sitaki wanangu wateketee na miwaya.
ha ha ha, dah naona mikausho inataka kugota mwisho.
Ujue hili zombie lilijiandaa zamani sana kuweka mzigo ndani, nikalipotezea ili niendelee kuchakachua
Mie naye niko bize nachakachua kwanza, fainali uzeeni.
Naona siku hizi linakomaa, kinachoniumiza sio type yangu. Ujue mwanamme anayerudi home saa 12 jioni utaanza kuombwa mchezo, hadi saa sita usiku ntakuwa marhemu??
Tena anikome, asinitie shombo kabisa.
Sasa
dadaa huyooooohatujawahi kwanguana kabisa
hata hug tu haikuwahi tokea
ila dah, sirudi nyuma maana najua sina upendo wa kweli kwake,ungekuwepo ningemkubali zamani.
Labda ile tolerance yake kwangu ndio inampa marks na ule ushirikiano na heshima iliyopo kati yetu.
he looks like a good father.
ETI ASINITIE SHOMBO!unalo hilo bibi!utaunywa mchungu kwa uvivu wa kuyeyusha sukari na uula mbichi kwa uvivu wa kuanika bibi!hili lako na walahi hapa umekamatika bibi jikubalie tu!uwekwe ndani utulie usubiri kufua boxer tu!ha ha ha, dah naona mikausho inataka kugota mwisho.
Ujue hili zombie lilijiandaa zamani sana kuweka mzigo ndani, nikalipotezea ili niendelee kuchakachua
Mie naye niko bize nachakachua kwanza, fainali uzeeni.
Naona siku hizi linakomaa, kinachoniumiza sio type yangu. Ujue mwanamme anayerudi home saa 12 jioni utaanza kuombwa mchezo, hadi saa sita usiku ntakuwa marhemu??
Tena anikome, asinitie shombo kabisa.
Sasa
Usiidhulum nafsi yako mpendwa..! Kama nawe una hisia na huyo unayemwita Zombie mpe nafasi muanze maisha mapya..! Au kuna kizuizi mamito?
OH!HUYU MUST BE A VERY VERY ZOMBIE I SEE!ha ha ha, hata kama siumi majani lakini dah!
Kuna kitu cha kike kinanipata kabisa.
Sometimes nahisi napumua tofauti.
mie naona anazishawishi hisia zangu
mie hata sijui kwa kweli
ila siku hizi, nafurahia uwepo wake zaidi.
mie naona anazishawishi hisia zangu
mie hata sijui kwa kweli
ila siku hizi, nafurahia uwepo wake zaidi.