Zombie ananitega . . .

na wewe umtege. mwambie akija tena utatuma watu wamfedede halafu uone kama ataleta pua yake tena.

n.b. eti mwalimu gfsonwin nimetamka sawa sawa kumfededa au nimekosea spelling?
 
Last edited by a moderator:

yani pacha kama ambavyo nilishindwa kuchangia kwenye ile thread yako ndo na hii ya Kongosho inavonishinda!yu guys of all ze pipo!ahahahhahahhahahha walahi Kongosho sipati picha zombie litakavokuwa linakufungua vifungo vya blouse uuuwih!
 
Last edited by a moderator:
weee, ndio nimekuja kuchukua uzoefu hapa wa kujinasua.

Ngoja ni-block simu yake kwa muda.

kama kashatangaza ndoa na kukulegeza magoti hiyo vita umeshashindwa hata kabla ya kwenda vitani.
 
we mtoto snowhite , ya wapendanao usishabikie kwa sauti hivyo, huyo Kongosho inavyoonekana kakolezwa mazima na hapa anaua soo asionekane alinaswa kirahisi, actually she is reporting the opposite, tutaskia
sio hivo Baba V,yani katika watu nawaaminia katika haya makitu ya ujanja wa mujini na mikausho mikali ni Kongosho sasa tena doooh!walahi zombie litasimamiaaje vidole!
 
Last edited by a moderator:
weee, ndio nimekuja kuchukua uzoefu hapa wa kujinasua.

Ngoja ni-block simu yake kwa muda.

utablockuje na unatamani likupigie simu!hapo utablock line hii af kumbe unajua kabisa kuwa kuna line nyingine linaijua na litapiga tu!si unajua mazombie jinsi tuanvowapaga siri zetu!lol!
 
kongosho inaruhusiwa bwana hizo bahati uwa haziji mara mbilimbili haswa ukizingatia umri unakutupa mkono
 

Labda nikuulize mkuu hayo majamaa unayo mangapi !!!!
 
rejea definition ya zombie kwenye usi wa Lara 1

ukishamuonjesha huyo si zombie tena, ni Ex.

Mh! mimi hapa sielewi, ilikuweje2 hadi akafikia kutangaza ndoa !! sio kwamba ulishamuonyesha dalili zote za kum-lav!
 
ha ha ha ha, kwani gwiji hana maini?

Mie nashangaa huyu zombie anataka kuota pembe??

 
Last edited by a moderator:
unalo bibi!unalo hilo!
zombie amekuzombika!unga wa ndere umeisha amefunguka masikio na macho!unamtamanije sasa?ahahhahahahhahah yani nacheka kama mazuri vile!

hata mie nashangaa unavyocheka
wakati hadi kulata hapa ujue nimeshindwa.

Nikiwaambia mashosti watapondaje? Maana mie bingwa wa kuponda mizombie
 
ha ha ha ha, kwani gwiji hana maini?

Mie nashangaa huyu zombie anataka kuota pembe??

si bora aote pembe utamfanya maksai ,bibi wee hyo zombie kagundua ana mguu wa kati kama hao aliokuwa anakupeleka ukawapokee aiport ye anasinzia tu kwenye gari shurti kulaza kiti! na walahi lazima akutegue nao!
 
umejuaje best?

Nakumbusha hadi kwenda chachi kila jpili asubuhi.

Sijui manini nini kila kitu zombie yuko on top

nikiwa na ishu hata nimtume saa tisa za usiku ataenda kuifanya religiously.

Sitaki kabisa, tena linikome mtoto wa mwenzie.

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…