zomba na Kibanga ampiga Mkoloni angalieni data mnazotumia nina shaka kubwa na uhalisia wake. naona data nyingi hazijawa updated. Nimeona hapo juu kwamba barabara ya Tanga - Horohoro iko 47% lakini ukweli ni kwamba ile barabara iko more than 95% completed. Nimetoka mombasa juzi nikapitia hiyo barabara nimeiona kwa macho yangu. Wakati mnabishana angalieni source ya data zenu.
Naona mchakachuwaji kashindwa kuonesha data za ukweli.
Mliobaki mnaporojo tu, japo mwenzenu kajaribu kidogo kujitetea lakini ndio kwa kuchakachuwa na mwisho akashindwa kuonesha source na mwaka wa data zake. Kwi kwi kwi teh teh teh.
Kikwete juu, juu, juu zaidi.
Sasa hizo barabara ndio unataka kujustfy matumizi ya mikopo ya trilioni 23?Nililiona hilo na nikamuuliza na nikamkumbusha lakini kakaa kimya, si mchakachuaji. Kwanza alileta data wrong nilipomstukia akaenda ku edit post #1 nilipomstukia akawa hajibu kabisa kuhusu source na mwaka wa data zake:
Sasa hizo barabara ndio unataka kujustfy matumizi ya mikopo ya trilioni 23?
kwanza mwambie akueleze hizo takwimu zimekuwa updated lini? Ukipata jibu nifahamishe, maana nyie mna data za zamaaaani, mimi nna data zilizowasilishwa bungeni juzi na magufuli. Kinaga ubaga na hakuna mbunge hata mmoja aliyezipinga, si wa ccm si wa magwanda.
basi zitakuwa unpublished data ambazo sio acute relevant reference.
Ni FF... anatumia ID nyingine.
Hapo kwenye kekundu fanya kinyume.Kuna reference zaidi ya waziri kupeleka data bungeni? hujui kuwa mawaziri kibao mpaka waziri mkuu mmoja wameshadondoshwa uwaziri kwa data zinazopelekwa bungeni? Unafikiri Magufuli halijuwi hilo? Bunge la wakati wa Kikwete hakuna kulindana.
Kwa vile unapewa wewe ili kudanganya unaona sawa.Ulitaka zikopwe upewe wewe?
Anamtetea mtu ambaye hataki kwi! kwi! kwi!Kwa vile unapewa wewe ili kudanganya unaona sawa.
Ila nakushangaa maana unayemsaidia kwa uongo wako yeye ansema ukweli!.
"President Jakaya Kikwete said in Arusha on Thursday that at the moment the total length of tarmacked roads in Tanzania is 6,000 kilometres."
Wewe bila soni unasema Tanzania inazo kilimeta 6,000 + 11,154 = 17154km.
Ukiombwa takwimu unaleta zilizokarabatiwa, zinazokarabatiwa na za changarawe.
Kwani zilikopwa kwaajili ya nini? kusaidia wananchi au kuziweka kwenye accounts zao huko uswis?Ulitaka zikopwe upewe wewe?
Mkuu hata kama iko 100% sawa tunachotaka zomba atuambie 11,154km zilizojengwa na Kikwete katika uongozi wake.zomba na Kibanga ampiga Mkoloni angalieni data mnazotumia nina shaka kubwa na uhalisia wake. naona data nyingi hazijawa updated. Nimeona hapo juu kwamba barabara ya Tanga - Horohoro iko 47% lakini ukweli ni kwamba ile barabara iko more than 95% completed. Nimetoka mombasa juzi nikapitia hiyo barabara nimeiona kwa macho yangu. Wakati mnabishana angalieni source ya data zenu.
Kwani zilikopwa kwaajili ya nini? kusaidia wananchi au kuziweka kwenye accounts zao huko uswis?
Zote CCM!.Hivi serikali inayoongaza kwasasa ni ya chama gani? Kipindi cha Mwinyi, Mkapa na Mwalimu ilikuwa chama gani?
Kwa vile unapewa wewe ili kudanganya unaona sawa.
Ila nakushangaa maana unayemsaidia kwa uongo wako yeye ansema ukweli!.
"President Jakaya Kikwete said in Arusha on Thursday that at the moment the total length of tarmacked roads in Tanzania is 6,000 kilometres."
Wewe bila soni unasema Tanzania inazo kilimeta 6,000 + 11,154 = 17154km.
Ukiombwa takwimu unaleta zilizokarabatiwa, zinazokarabatiwa na za changarawe.
President Jakaya Kikwete said in Arusha on Thursday that at the moment the total length of tarmacked roads in Tanzania is 6,000 kilometres. The president was officially opening the 47th African Development Bank (AfDB) meeting when he said this. "Tanzania has a total road network that covers 80,000 kilometres.
However, there is a need to reduce the length of unpaved roads," he said. He added that there are ongoing efforts to pave 11,000 kilometres of the road network -- a job that is expected to be completed in three years' time. After construction projects are completed in 2015 the total length of paved roads will increase from 6,000 to 17,000 kilometres.
Source: Tanzania Daily News.
Fanya tena hesabu upya
Hapo kwenye kekundu fanya kinyume.
Nilipobold ni sawa lakini sababu ya kufikia hapo ni nguvu nyingine si utendaji wa Kikwete.
Na yawezekana tabia ileile ya mawaziri wa Kikwete kusema uongo inaendelea sema mhuusika ana bahati ya mtende hajastukiwa.
Iweje Waziri anatakwimu tofauti na Rais bosi wake, tena Rais anatoa takwimu kwa wahisani wa barabara hizo pale A Town?.
UDHAIFU MKUBWA KWA SERIKALI NA UPUUZI MWINGI BUNGENI!.
Ukifanya hiyo niliyowekea uwekundu zinapungua urefu?.Mnaambiwa msikurupuke, huyu ndio aliyoleta hizo data, tena hukuziandika kama zilivyo, sasa sijui huyo ni nani na hizo data zake zinatofauti ipi na Kikwete, au Kiingereza kimepita upande wa kushoto? mimi nilimquote Magufuli ambae data ni hizohizo lakini hakuzi roundup, Kikwete hapa kazi roundup na hizi data umeleta wewe: soma: