Mambo ya daladala hayo, kila siku vituko..daladala nililopanda jion hii lilizimika maeneo ambayo ni mbali na kituo na ilitubd tutembee,ndipo jamaa m1 aliposema neno ambalo lilioifurahisha sana,jamaa akasema"duh! Zoez lishakuwa mechi cha msingi tupewe jezi tu tuingie uwanjani!"