Zoezi la Vitambulisho kugomewa?... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zoezi la Vitambulisho kugomewa?...

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by PakaJimmy, Jul 31, 2012.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  -Kwa kuwa zoezi la vitambulisho vya Taifa linawahusu Watanzania wa dini zote,

  -Na kwa kuwa kupata kitambulisho kutamfanya mtu apatikane kila akitafutwa,

  -Na kwa kuwa kitambulisho cha mtu hakionyeshi dini yake,

  -Na kwa kuwa zoezi la vitambulisho linafanana-fanana na Sensa,

  Ndugu zangu Waislamu(wenye mpango wa kugomea sensa) wanaonaje wazo la kugomea

  Vitambulisho vya kitaifa,
  ambavyo ni vya kudumu, kuliko kugomea Sensa ya Watu na Makazi,

  ambayo inadumu kwa muda wa miaka 10 tu?

  Naomba mwongozo wa hoja hii!
   
 2. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,633
  Trophy Points: 280
  We PakaJimmy acha uchokozi ngoja waje hapa watakushughulikia mpaka utashangaa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  huo ni ushauri au uchochezi aisee PJ
   
 4. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hii ni kumkumbusha tu shehe Ponda, kwani amesahau kugomea kitambulisho cha taifa, kwa sababu hakina kipengele cha dini.
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,325
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  haaahaa watu mna visa nyinyi....wengine wanaanzisha haya mazogo ili wapate kula si unajua tena
   
 6. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Waache wagomee vitambulisho. Siku itafika watakapotozwa faini mahakamani kwa kutokuwa na kitambulisho. Na vile vile kutokutambulika kama raia wa Tz. Huduma zote za umma watakosa. Wanaoleta hii fikra wafikirie zaidi sio kusema na kudanganya watu.
   
 7. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  kama website ya TTB, Diary za ofisi ya wzr mkuu watatumia data za NIDA watagomea pia
   
 8. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaaaaa hii ni kweli lakini. Alikua anatafuta uKADHI mkuu na kaukosa.
   
 9. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Australia waligomea Vitambulisho serikali ikasema asietaka
  kuchukua kitambulisho hataweza kununua shamba, kufungua account,
  kutibiwa, kupewa leseni au kupewa huduma yoyote bila kitambulisho, walifyata mkia
  kwa Tanzania wakigomea serikali itatumia mabavu kama hayo lazima kuwa nacho
  waislamu najua ni upepo tu utapita kuhesabiwa watahesabiwa sana.
   
 10. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Sisi waislamu wote tuandaane haiwezekani serikali hii itunyanyase hivi nilikuwa sijasoma vizuri zile nyaraka zao ambazo ni nyingi mno na zinachosha ....kumbe hicho kipengele hakipo?...lazima waweke kipengele cha dini ili kila tukiomba kitambulisho cha mtu tuwe tunajua dini yake.....
  Sisi waislamu ktk hili hatutakubali mpaka kieleweke yaani ni jino kwa jino na ngangari kinoma nadhani wote mnatujua sisi waislamu tukisema hatutanii na mmeona tulivyo gomea sensa na mnakumbuka mambo ya uamsho huko zenji kwa hiyo serikali lazima iheshimu matakwa yetu
   
 11. Foum Jnr

  Foum Jnr JF-Expert Member

  #11
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 272
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  salam waungwana, kazi ipo!!
   
 12. m

  mamajack JF-Expert Member

  #12
  Jul 31, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  hakuna mtu atagoma katika hawa watu(islamic)sema kunawajanja wachache tu wanataka wajulikane tz hii na kwakuwa wanapata washabiki actually wameshajulikana.
  ninauhakika hakuna atayegoma kuandikishwa sensa.mark my words
   
 13. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #13
  Jul 31, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Huu uchokozi!!!!!!
   
 14. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #14
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,325
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Pakajimmy umeanza uchokozi shauri yako!
   
 15. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #15
  Jul 31, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Nilimsikia Mbunge mmoja katika maongezi ya kawaida akieleza kuwa zoezi la Sensa, Vitambulisho vya taifa na Katiba vingefanyika kwa ufanisi, kwa gharama nafuu, kwa kuokoa muda na rasilimali na kuwafikia watanzania wote kwa wakati endapo yangefanyika pamoja.
  Naunga mkono kabisa.
  Isingekuwa ngumu kwa karani wa sensa pamoja na fomu za dodoso, kuwa na fomu za vitambulisho vya taifa na fomu ya tume ya katiba kwa ajili kujaza maoni.
  Nimetafakari nikabaini kuwa hili lingewezekana tena kwa ufanisi mkubwa.
  Tuchangie !

  NB:
  Naomba MoDs wai stick hii topic kwa faida ya siku zijazo.
   
 16. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #16
  Jul 31, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Thubutu....Nilisikia hata mitihani ya NECTA wanaigomea.....
   
 17. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Sio uchochezi...Labda neno hilo lingefaa kwenye ugomeaji wa sensa unaopangwa na hawa watu!
   
 18. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wakubwa uchochezi ndio mnauona leo?...
   
Loading...