Wa moshi??Kuna classmate mwenzangu alifia hapo jamani ni siku chache kabla ya matokeo kutoka r.i.p yobo
subutu hujanifaham hata robo wewe labda uwe madole loh ππππππππ usinichekesheHahha hahaa hahha hunifahamu ng'oo, ingawa mi nshakufahamu teh teh teh ....
ndio mkuuWa moshi??
Ziwa hili linapatikana nje kidogo ya mji wa Arusha, kabla ya kufika soko la tengeru ukielekea Moshi... Ni kilometa mbili adi tatu kutokea barabara kuu
subutuu hujanifaham hata robo yan nina asilimia mia πππDaaah madam nimekujua pole sana ......mi spend tujuane .....maana raha ya huku ni kutojuana, unaeza kuta unamshushiaga madongo mzee wako bila kujua
kumbe eh bas ndio kama hivoSafari zinazohusu sehemu zenye maji huwa kama ukikataliwa kwenda mambo kama hayo yanatokea..
Wengi wanaita hapo Patandi Tengeru.Ziwa lipo Tengeru wewe unasema kabla ya kufika Tengeru.
Upande wa kulia (ukiwa unaelekea moshi)Upande gani wa barabara
Yap me nilizungumzia tengeru sokoni.. Pale kwenye kituo cha magariWengi wanaita hapo Patandi Tengeru.
We PUUUNGA unanitafutia ban, eti? Jiheshimu Puumbavu, sawa sawa?We ndiye kiazi kabisa. Hivi mkuu upo sober?
Umeeleza vyema mdau, ila mm nilijaribu kuelezea uzoefu wangu wa 2017. Nilienda pale na shemeji yako mdogo, alikuwa anasoma pale Makumira.Wanalipisha kule walipoweka miundo mbinu, lile ni ziwa ni dogo eneo kubwa limezungukwa na vilima/misitu...sehemu ya kuingilia ni upande mmoja tu.
Kwa kujengwa mgahawa pale walau panakuwa eneo lenye uangalizi. Hivyo ni haki kulipa ili kuchangia uangalizi wa ziwa, la sivyo hawa machali wa R wakishapiga 'kitu cha R' wataishia wote kule ziwani.
Hata hiyo njia nyingine unayosema sidhani kama ni rasmi, nakumbuka walikuwa wanazuia, Watu wa maliasili nadhani, ilikuwa ni lazima uingilie kule ulipo Mgahawa.
Hili ziwa linaonekana halina beach zenye kichanga...!
Hili ziwa linaonekana halina beach zenye kichanga...!
Upande wa kulia (ukiwa unaelekea moshi)
subutuu hujanifaham hata robo yan nina asilimia mia [emoji13][emoji13][emoji13]
Hahhah umenikumbusha madole , daah hivi yupo wapi yule mshikaji, long time sana ....ila nyie Jezi jezi za kijan mlikuwa mmelaaniwasubutu hujanifaham hata robo wewe labda uwe madole loh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinichekeshe
tehe nani alikuambia me nakaa dar mkuu me sipo hukoHahhha hahah naogopa nsije kukuanika , vipi bado upo dar
πππππππ mado yupo nahisi dar niliwasiliana naye muda kidogo halaf una habar kuna classmates wawili wakaoana kabisa? We acha ile sare na nasikia mr njau alikataa irudiwe sijui kama kuna darasa waliwah irudia yan nimekumbuka mbali leoHahhah umenikumbusha madole , daah hivi yupo wapi yule mshikaji, long time sana ....ila nyie Jezi jezi za kijan mlikuwa mmelaaniwa