Uhuru wa kujieleza ila na yeye pia yupo huruNimemfuatilia sana zitto hivi karibu nikagundua kuwa anakuwa rafu sana hasa katika upande wa ndevu. Naomba kwa walio karibu nae wamwambie kuwa mimi ananikera sana, hata kama yupo bize kwa hili hapana
Sent using Jamii Forums mobile app
bize gani, kufanya usalitiNimemfuatilia sana zitto hivi karibu nikagundua kuwa anakuwa rafu sana hasa katika upande wa ndevu. Naomba kwa walio karibu nae wamwambie kuwa mimi ananikera sana, hata kama yupo bize kwa hili hapana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata picha za yesu alikuwa anafuga ndevu na pia anavaa kanzu ..na yesu anasema jitieni nira yangu na mjifunze kwangu....sasa leo kufuga ndevu unakuita ujinga....hahaha yaani siku hizi kuwa mkiristo maana yake ni kupinga wanavyofanya waislamu hata kma biblia imeandika huwa mnavikana so long waislamu wana pracise hiko kituWenyewe watakuambia ibada.... Imani nyingine ujinga mtupu..
Ibada ya kubeba mawe Afrika kwenda kumtwanga mawe Uarabuni. Ila sio fair aisee. Ngozi nyeupe wajanja sana wanatuumiza huku wanatuchekea kwa ujira wa pakiti ya TendeWenyewe watakuambia ibada.... Imani nyingine ujinga mtupu..
HUJUI MAANA YAKE MKUU! NDO MAANA WENGI WA JINSIA YA ME HUKESHA KTK MICHEMSHO YA "PWEZAGRA"Upumbavu ule