Fabian the Jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 756
- 743
Kwa muda mrefu tangu nilipomfahamu Mh. Zitto niliamini huyu bwana ana kitu cha ziada katika siasa anazofanya. Pamoja na kukutana na changamoto nyingi sana lakini bado ameendelea kuwa katika ubora wake na ukweli unabaki kwamba huyu bwana ataendelea kubaki kuwa mwenye uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja nzito sana zenye msingi na naamini huyu bado ni miongoni mwa wanasiasa wachache ambao ni hazina kubwa kwa taifa letu. Nimeendelea kuamini hilo baada ya kupitia hotuba yake aliyoitoa leo wakati akifungua mkutano mkuu wa chama chake. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. He is still the best of all time.