Viongozi wenzake waandamizi mama Mghwira na Prof Kitilla walipata uteuzi wa Rais Magufuli wakiwa ni wanachama hai wa ACT wazalendo na waliupokea uteuzi kwa moyo " mkunjufu" na kula kiapo cha utii bila kuchelewa.
Najiuliza tu endapo KC Zitto Kabwe atabahatika kupata uteuzi wa kujumuika katika baraza la mawaziri, je atasitasita au atafuata nyayo za watangulizi wake?
Maendeleo hayana vyama!