Zitto Zuber Kabwe ( MB) akiteuliwa na Rais kuwa Waziri atakataa?!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,745
139,524
Viongozi wenzake waandamizi mama Mghwira na Prof Kitilla walipata uteuzi wa Rais Magufuli wakiwa ni wanachama hai wa ACT wazalendo na waliupokea uteuzi kwa moyo " mkunjufu" na kula kiapo cha utii bila kuchelewa.

Najiuliza tu endapo KC Zitto Kabwe atabahatika kupata uteuzi wa kujumuika katika baraza la mawaziri, je atasitasita au atafuata nyayo za watangulizi wake?

Maendeleo hayana vyama!
 
Sio rahisi kwa ayatolah kukataa nafasi yoyote ya uteuzi kutoka kwa Rais wa Iran kwa sababu nafasi hizo zinamfanya Ayatolah kuimarika
 
kabla ya kuteuliwa unakuwa umefanyiwa vetting kali sana. utakataa kabla hawajatangaza hadharani.


usije ukadhani wanaoteuliwa hawajui. hata umwalimu mkuu tu tiss wanakuuliza sembuse uwaziri?

ova
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom