Zitto Z. Kabwe nani kakunyamazisha?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Ulianza vyema sana na hoja ya mabilioni ya Uswisi. Wengi wetu tulikuwa tayari kukuunga mkono na kusaidia kuwaanika waficha mabilioni kule. Ukawasilisha hoja yako Bungeni. Tangu wakati ule umekuwa kimya. Nini kinaendelea kuhusu suala la mabilioni ya Uswisi. Nini/nani aliyekunyamazisha? Si vibaya ukatudokeza.

cc Zitto

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
kwa hesabu za LOGIC mzee tupatupa una habari kama sio tetesi basi una ukweli fulani unaufahamu ndio maana umetoa dokezo...

huwa una chai sana vuta nkuvute ila ndani yake kuna vitu vya kujadili ...
hope ZZK atakuja kujibu hope kimya kingi kina mshindo mkuu
 
kwa hesabu za LOGIC mzee tupatupa na habari kama sio tetesi basi una ukweli fulani unaufahamu ndio maana utoa dokezo...

huwa una chai sana vuta nkuvute ila ndani yake kuna vitu vya kujadili
hope ZZK atakuja kujibu
Kiukweli,nampa kwanza nafasi ya kuueleza umma juu ya suala hili.Ama sivyo...
 
Weshamwona pembeni huyo,huwa haaminiki.Ukimya wake umechochewa na Kufariki Kisiasa
 
Kiukweli,nampa kwanza nafasi ya kuueleza umma juu ya suala hili.Ama sivyo...


hahah "ama sivyo".....utauleza UMMA walio mziba mdomo mwanaharakati .... teh teh
nimekusoma MZEE WA lumumba
chai fulani zenye ukweli ndani yake
 
We unataka aweje... Ni kiongozi bora sana ndani ya chama chetu chadema... Tunmpenda na tunamdhamini sana..
 
VUTA-NKUVUTE bila shaka Lumumba mnayo list, mnaogopa ZZK kuiweka hadharani...subira yavuta kheri! atajitokeza
 
Zitto,bado nakusubiri kwa majibu yako
 
Last edited by a moderator:
Kuna orodha ya watu wenye mapesa huko iliwekwa humu, chakushangaza Zitto naye akawa mmoja wa watu hao. Sijui ililengwa kumchafua au ni mchezo gani.
 
Hamna hoja aliyowahi Zitto kuianzisha na akaisimamia na matunda yakaonekana tangu alipoanza kuhongwa vyeo na watawala,huwa anatafuta publicity tu na uzuri CCM wanamjua mwenzao kuanzia uswahiba hadi nafasi za uongozi na mpaka utissi na udini,hakika mkoa wa Kigoma kuanzia wakina Tambwe hadi leo unatuzalishia wachumia tumbo na mandumi la kuwili tu,kasoro kwenye mziki na mpira tu,lakini siasa mmhhmm!!!!
 

Utakuwa umetumwa
 
Zitto ni mtu makini pale cdm. Hakuna mwingine kama huyu jamaa but kuna kaubaguzi anafanyiwa huyu Leader
 
hakuna kama zitto chdm. anafaa kuwa mwenyekiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…