Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,098
- 138,036
Wakuu wa Ukawa,Inatarahamwe na wengine naombeni kujua Zito K yu wapi bunge la katiba.Nikiri tu siangalii bunge dk zote lakini napata fursa ya kuangalia michango bora ktk taarifa za habari na magazeti,simuoni!!Spika acha kumbania mwenyekiti
Mkuu, Zitto anamuuguza mama yake! Mama ni mgonjwa na amelazwa hospitali. Anahitaji sala zetu kama binadamu wengine! Zitto pia anahitaji support yetu katika kipindi hiki[/QUOTE
Unasemaa???
Mkuu, Zitto anamuuguza mama yake! Mama ni mgonjwa na amelazwa hospitali. Anahitaji sala zetu kama binadamu wengine! Zitto pia anahitaji support yetu katika kipindi hiki
Nilichokisema hapo juu au sijaeleweka?Mkuu, Zitto anamuuguza mama yake! Mama ni mgonjwa na amelazwa hospitali. Anahitaji sala zetu kama binadamu wengine! Zitto pia anahitaji support yetu katika kipindi hiki[/QUOTE
Unasemaa???
Bila kutaja jina la zitto tunajua mtalala njaa endeleeni kulitaja ili mpate kula na kuendesha familia zenu make mnalipwa kwa kumchafua zitto.Yaani hapa JF ndo kabisaaa hataki hata kupasikia!!!! Alikuwa anajikakamua kidogo wakati hajatu-esikarioti, lakini tangu ajifanye Yuda na JF kuna data zake watu hawampi nafasi, kapotea jumla ndo hivo tena na Bungeni anaona aibu hata ya kusimama!!
Yangu macho.......
Tuliwaambia hamuwezi kuishi bila zitto ona sasa kucha mnamuota zitto wakati yeye hanashida na nyie na bado mtapata shida sana juu ya zitto.
chadema bila zitto haiwezrkani
Bila kutaja jina la zitto tunajua mtalala njaa endeleeni kulitaja ili mpate kula na kuendesha familia zenu make mnalipwa kwa kumchafua zitto.