The Citizen (Dar*es*Salaam)
Tanzania: Zitto - Why I Want to Succeed Mbowe
26 August 2009
?
Youthful Kigoma North MP Zitto Kabwe yesterday declared that he has decided to wrest the leadership of Chadema from chairman Freeman Mbowe to restore unity in the party, with the possibility of playing a bigger role in national politics
??????????????????
Nafikiri inabidi ukapimwe akili analala ukiota siku moja CDM isambaratike utasubiri sana.The Citizen (Dar*es*Salaam)
Tanzania: Zitto - Why I Want to Succeed Mbowe
26 August 2009
?
Youthful Kigoma North MP Zitto Kabwe yesterday declared that he has decided to wrest the leadership of Chadema from chairman Freeman Mbowe to restore unity in the party, with the possibility of playing a bigger role in national politics
??????????????????
Hayo sikuyaandika mimi, na source nimekuwekea, ukinilaumu mimi itakuwa umekasirika.
Yes, tarehe ya hiyo habari ndio hiyo, na nia jee, huyayuka kama kalenda? Do you remember how long it took JMK to become a President?
Dar es slaam hawezi kuelewa kwamba tanzania si shwari na kwakuwa katumwa ndio maana utamsikia mara nyingi hoja zake ni za ubaguzi. Hawa ndio wakisemwa kwa maovu yao wanakimbilia huruma ya udini na ukabila. Hawafai watu hawa. Chadema ipo na inawakilisha umma. Tutaijadili chadema siku zote katika jukwaa hili kwa kuwa ndio chama cha upinzani kilichobaki wengine wasindikizaji. Tunamtakia safari njema zitto zuberi kabwe home boy aende atakako kwenda hatutaki mapopo chadema hatutaki mandumila kuwili. Period!
Dar es salaam kwani umelazimishwa kuandika kuhusu chadema kwanini usiandike kuhusu makamba, chiligati na celina kombani?
Jana aliomba msamaha. Msameheni!You are sick!
The Citizen (Dar*es*Salaam)
Tanzania: Zitto - Why I Want to Succeed Mbowe
26 August 2009
?
Youthful Kigoma North MP Zitto Kabwe yesterday declared that he has decided to wrest the leadership of Chadema from chairman Freeman Mbowe to restore unity in the party, with the possibility of playing a bigger role in national politics
??????????????????
Seriously, I should consider shifting from Dar es salaam, if this name is being misused by the misguided and confused creatures!!!!!
Haya hii hapa link ya hiyo habari, mkaisome kikamilifu maana naona mnataka kuyachakuwa hayo maandishi ya The Citizen kuyafanya ni yangu.
Link: allAfrica.com: Tanzania: Zitto - Why I Want to Succeed Mbowe
Mwanalugali.... I thought una kaa Kibaha- Mwanalugali na si Darisalama!Seriously, I should consider shifting from Dar es salaam, if this name is being misused by the misguided and confused creatures!!!!!