Zitto - Why I Want to Succeed Mbowe

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,261
3,909
The Citizen (Dar*es*Salaam)

Tanzania: Zitto - Why I Want to Succeed Mbowe

26 August 2009

?

Youthful Kigoma North MP Zitto Kabwe yesterday declared that he has decided to wrest the leadership of Chadema from chairman Freeman Mbowe to restore unity in the party, with the possibility of playing a bigger role in national politics

??????????????????
 
Hiyo ndoto ya mchana. Akamrithi James Mbatia au Jk.
 
Ina maana Chadema hakuna ya unity? Nadhani hiki ndicho kinamponza Zitto. Kutaka kutumia demokrasia kwenye udikteta. Pole Zitto.
 
The Citizen (Dar*es*Salaam)

Tanzania: Zitto - Why I Want to Succeed Mbowe

26 August 2009

?

Youthful Kigoma North MP Zitto Kabwe yesterday declared that he has decided to wrest the leadership of Chadema from chairman Freeman Mbowe to restore unity in the party, with the possibility of playing a bigger role in national politics

??????????????????
Nafikiri inabidi ukapimwe akili analala ukiota siku moja CDM isambaratike utasubiri sana.
 
Hayo sikuyaandika mimi, na source nimekuwekea, ukinilaumu mimi itakuwa umekasirika.
 
Yes, tarehe ya hiyo habari ndio hiyo, na nia jee, huyayuka kama kalenda? Do you remember how long it took JMK to become a President?
 
Dar es slaam hawezi kuelewa kwamba tanzania si shwari na kwakuwa katumwa ndio maana utamsikia mara nyingi hoja zake ni za ubaguzi. Hawa ndio wakisemwa kwa maovu yao wanakimbilia huruma ya udini na ukabila. Hawafai watu hawa. Chadema ipo na inawakilisha umma. Tutaijadili chadema siku zote katika jukwaa hili kwa kuwa ndio chama cha upinzani kilichobaki wengine wasindikizaji. Tunamtakia safari njema zitto zuberi kabwe home boy aende atakako kwenda hatutaki mapopo chadema hatutaki mandumila kuwili. Period!
Dar es salaam kwani umelazimishwa kuandika kuhusu chadema kwanini usiandike kuhusu makamba, chiligati na celina kombani?
 
Nashangaa unanizozomokea mimi wakati hiyo ni habari kwenye gazeti la THE CITIZEN.
 
The Citizen (Dar*es*Salaam)

Tanzania: Zitto - Why I Want to Succeed Mbowe

26 August 2009

?

Youthful Kigoma North MP Zitto Kabwe yesterday declared that he has decided to wrest the leadership of Chadema from chairman Freeman Mbowe to restore unity in the party, with the possibility of playing a bigger role in national politics

??????????????????

Seriously, I should consider shifting from Dar es salaam, if this name is being misused by the misguided and confused creatures!!!!!
 
Remember its not me its the citizen I just Control C'd and Control V'd, you can follow it on that date, there is more than what I pasted, go read it in full.

Dar ina wenyewe, wewe si ulikuja tu, you are free to move. Love it or Leave it.
 
Zitto hajakomaa kiasi cha kukiongoza CHADEMA,ila ana haki kugombea,ni democrasia.But kwa jinsi alivyo behave recently,hakuna atakayempa kura,sorry atapata kura lakini hazitatosha.He is kidding as ussual.
 
Haya hii hapa link ya hiyo habari, mkaisome kikamilifu maana naona mnataka kuyachakuwa hayo maandishi ya The Citizen kuyafanya ni yangu.

Link: allAfrica.com: Tanzania: Zitto - Why I Want to Succeed Mbowe

Tujikumbushe hili tatizo la taifa!

2yz9yxh.jpg
 
Rev ukiona mambo magumu inatakiwa uya-face usiyakimbie. Duhh, unachakachuwa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom